Kenya Airways imejikuta katika wakati ngumu mwaka 2017 kwa kuporomoka nafasi 6

Kenya Airways imejikuta katika wakati ngumu mwaka 2017 kwa kuporomoka nafasi 6

One thigh you tried so hard to hide from your comment is that, KQ has dropped 6 places in space of 12 month.

And South African has dropped 8 places. Your point?
When ATCL and their 2 bombardier and flight to Mumbai are included on any list, you can start a thread.
 
Kutokana na mtandao SKYTRAX unaotoa viwango vya mashirika ya ndege 100 duniani, inaonekana Kenya Airways imejikuta katika wakati ngumu mwaka 2017 kwa kuporomoka nafasi 6 chini kutoka 85 mpaka 91.

2014 84/100
2015 86/100
2016 85/100
2017 91/100

Huu ni mtandao huru na hauna ushirikiano wowote na mashirika ya ndege. Habari kamili zama kwenye kiunganishi hapa chini.

The World's Top 100 Airlines in 2017
Tuma evidences za hizo miaka zingine mzae....alafu utuonyeshe ATCL
 
And South African has dropped 8 places. Your point?
When ATCL and their 2 bombardier and flight to Mumbai are included on any list, you can start a thread.
South Africa are struggling too with bail out, wakati mkiweka midomo juu kusema KQ is in good position the real position it has been holding here for the past 10 year is tail position.
 
Good Lord.
Yaani ulianzisha thread ukidhani Fastjet iliyo kwa list ni ya Tanzania.
I'll not blame you for your ignorance.
And were is fastjet primary business center. Mpunguze hizi akili za kuazima.
 
ATCL namba moja kutoka nyuma, oops hata haijatajwa, haifamiki, haijuikani, haijawahi kusikika, haina uhai wala pumzi......kwenye nchi inayo ongoza kwa vivutio vya utalii, yaani hamna laana mbaya kama ya uzembe na uvivu... ujamaa uliwalemaza kwa kweli, aliyewapa huo mfumo kawakosea hadi kuzimu.
Nimegundua wakenya wakikosa majibu kwa watanzania wanakimbia hoja ya ujamaa. Ujamaa bado upo Tanzania na hautaodoka leo wala kesho. Its in our DNA. Tunajali watu wa aina zote sio wenye kipato tu.
 
And were is fastjet primary business center. Mpunguze hizi akili za kuazima.

Fastjet headquarters is in Johannesburg. Enough said.
It has operations in several African countries, including Tanzania.

What you are doing is equivalent to Kenyans saying they own Emirates because it has operations in Nairobi.
 
South Africa are struggling too with bail out, wakati mkiweka midomo juu kusema KQ is in good position the real position it has been holding here for the past 10 year is tail position.

Do you know the meaning of tail position?
Top 100 is the merit list. Every airline not on it is trying to break into it.

It's like seeing a list of Top 10 tourist destinations in the world, and then yapping your mouth that No. 10 is doing badly.
 
Nimegundua wakenya wakikosa majibu kwa watanzania wanakimbia hoja ya ujamaa. Ujamaa bado upo Tanzania na hautaodoka leo wala kesho. Its in our DNA. Tunajali watu wa aina zote sio wenye kipato tu.

Lazima mkumbushwe kwa nini nyinyi ni LDC.
 
Fastjet headquarters is in Johannesburg. Enough said.
It has operations in several African countries, including Tanzania.

What you are doing is equivalent to Kenyans saying they own Emirates because it has operations in Nairobi.
Unasoma vya kusoma tuu bila kujuwa historia, after business structuring they open head office in South Africa to oversee African businesses. When they came to Africa at first, their base was in Tanzania even Tanzania went into trade dispute with Kenya for refusing landing rights from TZ to KE. Even today most of there assets are still based in Tanzania.
 
Lower Middle Income is far apart with Middle Income. Kenya yuko G7 amepeleka bakuli la misaada watch and see.

Anayepata ni yule aliyeitisha.
Supreme Leader wenu anadhani ataletewa hadi nyumbani.
 
airline business noma sana aisee...hata KQ wamejaribu tu...wengine siwaoni walipo ila ndio wanafungua midomo hapa kana kwamba ni mamba wakipiga kelele
 
Unasoma vya kusoma tuu bila kujuwa historia, after business structuring they open head office in South Africa to oversee African businesses. When they came to Africa at first, their base was in Tanzania even Tanzania went into trade dispute with Kenya for refusing landing rights from TZ to KE. Even today most of there assets are still based in Tanzania.

Wacha kiswahili mingi.
Headquarters ya Kenya Airways - Kenya
Headquarters ya Air Tanzania - Kenya
Headquarters ya Qatar Air - Qatar
Headquarters ya Eqypt Air - Egypt
Headquarters ya Ethiopian - Ethiopia

Headquarters ya Fastjet - South Africa

Ile siku utaskia mkenya amesema Ethiopian ni yetu, nawe pia unaweza claim Fastjet.
 
Anayepata ni yule aliyeitisha.
Supreme Leader wenu anadhani ataletewa hadi nyumbani.
Mbona vinakuja, change of government and were still rocking 7% growth?

Usitoke kwenye mada, KQ has gone down 6 places to 91. Is it CEO, is it financial problems, is the customer voting with tgwte pocket? Or all of the above?
 
Back
Top Bottom