Kenya Airways kuruka moja kwa moja mpaka USA usiku huu

Ndege kwenda NY nchi nzima hamlali, sasa likitokea KQ kuwa voted number one airline in the world si mtatembea bila nguo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie hamkulala JPM aliposema anafuatilia durimulaina yenu moja ruhusa ya kuenda Mumbai Sasa mkienda NY si mtakua na national holiday?😂😂😂😂 Naona sindano imewaingia kweli kweli.
 
Serekali yenyu inafaa kujifanya wabinafsi na kutangaza airlines zenyu duniani bure mtazidi kubaki nyuma. Ethiopian government iliwachia Shirika la ndege hilo kujimiliki na kumiliki uwanja wa ndende ili liweze kujikuza. Kq pia wanapanga kufanya the same. JKIA to be run by kq soon.
Tumeisha tangaza tender ya hiyo service, mwenye ubavu aje awekeze. Hao mabig fish wanatafuta ela...! kama wanaona tunaweza kufanya nao biashara ya faida watakuja tu!
 
Asante sana akili kubwa
 
Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.

Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?
.

Actually, imewachukua KAA miaka kumi na miwili (Since 2006) kupata leseni hii toka FAA.
 
.

Actually, imewachukua KAA miaka kumi na miwili (Since 2006) kupata leseni hii toka FAA.
True it took them very long time, kuna majamaa hapa wa Kenya they had false hope that KQ will flying to US by October 2016. Na mimi nikawapa picha halisi kwamba without permission from homeland security and FAA, KQ is going nowhere. Leo wameamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…