Kenya Airways kuruka moja kwa moja mpaka USA usiku huu

Kenya Airways kuruka moja kwa moja mpaka USA usiku huu

Ndege kwenda NY nchi nzima hamlali, sasa likitokea KQ kuwa voted number one airline in the world si mtatembea bila nguo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie hamkulala JPM aliposema anafuatilia durimulaina yenu moja ruhusa ya kuenda Mumbai Sasa mkienda NY si mtakua na national holiday?😂😂😂😂 Naona sindano imewaingia kweli kweli.
 
Hii ni siri nakupa, huku tuna Barometer ya kuwapima wakenya kama mmelala au majalala. Toka jana inasema hamjalala [emoji23]
Sawasawa ankoooo!😎
7570778_isee_jpegf466c4d986b8343143b6b6b15246df85
 
Serekali yenyu inafaa kujifanya wabinafsi na kutangaza airlines zenyu duniani bure mtazidi kubaki nyuma. Ethiopian government iliwachia Shirika la ndege hilo kujimiliki na kumiliki uwanja wa ndende ili liweze kujikuza. Kq pia wanapanga kufanya the same. JKIA to be run by kq soon.
Tumeisha tangaza tender ya hiyo service, mwenye ubavu aje awekeze. Hao mabig fish wanatafuta ela...! kama wanaona tunaweza kufanya nao biashara ya faida watakuja tu!
 
Asante sana akili kubwa
Ni kweli kabisa mambo mengi tunayafanya kisiasa bila kuwasikiliza watu wenye uwezo wa na uzoefu wa Kufanya hizo biashara.
Ningekua mkuu wa nchi ningeunda wizara ya biashara tu ambayo ingekua na waziri kama Reginald Mengi au Antony Dialo au Shabiby au Hussein Bashe.

Tanzania tupo nyuma sana kiuchumi kwa sababu hatujajenga moyo wa biashara kwa watu wetu hasa wasomi.

Waziri msomi kabisa lakini hajui kuwa Kenya ikiwa na ndege za kutosha ni jambo jema kwetu pia mana Kenya ni East Wafrika. Hata ulaya karibu nchi nyingi zinatumia uwanja wa Amsterdam.
Ukishafiaka Kenya umefika East Afriaka. Ndio maana palikua na East Afrika Air way maiaka hiyo . Waasisi waliona Mbali.

Pesa tunazoshindana na Kenya kununua ndege kwa safari zile zile na eneo moja tungeziwekeza kuimarisha miundo mbinu ya Utalii, huduma bora kwenye utalii na kujitangaza sana huko nje.

Mfano ujenzi wa barabara ya uhakika ya kupitia Serengeti na hoteli za uhakika zingeongeza sana watalii kwani wangekua wanafika kwa wakati na muda wote bila kikwama njiani kutokana na ubovu wa barabara.

Kuwawezesha wananchi kumiliki magari ya kisasa na ya kifahari kwa ajili ya watalii. Kuchimba mabwawa makubwa sana ya kukinga mvua wakati wa Mvua na kutumika wakati wa kiangazi kwa ajili ya wanyama wetu ili wasihame hame sana. Kupunguza gharama na kodi kwa shughuli za watalii n.k kufufua Treni ya kutoka Kenya kuja Mikoa ya Moshi na Arusha na Tanga kwa ajili ya Watalii.

Kushirikiana na Kenya ni fursa kubwa sana Kitalii kuliko kuitenga na kuanza mivutano ya kugombania watalii wakati watalii wanajua wanakwenda East Afrika kuona wanayama. Wakifika Enya kuna mambo Mengi sana tungeyatangaza pale pale Kenya na wakayajua kwa vizazi vyao watakaporudi. Tunazo Mbuga nyingi sana tofauti na Kenya hivyo kutishika na Kenya ni woga usio na sababu.

Mfano Wakati TvT inabadilishwa na kuwa TBC 1 tulitegemea Leo hio ingekua Chanel Kubwa sana yenye kuonekana Dunia nzima ili itangaze Utalii kwa kiwango kikubwa sana lakini matokeo yake ni siasa Massa 24 kuonyesha watu wakiwa na nguo za kijani. Basi bora serikali ingewekeza kwa vyombo kama Azam ili viwe na nguvu vionekane dunia nzima badala yake ni figisu mpaka vife kwa sababu ya woga wa watu wachache kuangalia vyeo vyao na umaarufu wao.
 
Haha, wala sio wivu, umesahau toka 2016 nilikiwa nasema itachukuwa muda mrefu mpaka kuweza kwenda US, leo hii I've prove myself right.

Swali, kwanini Kenyatta hakuenda kama alovyosema ataenda, IFM wamemkataza au?
.

Actually, imewachukua KAA miaka kumi na miwili (Since 2006) kupata leseni hii toka FAA.
 
.

Actually, imewachukua KAA miaka kumi na miwili (Since 2006) kupata leseni hii toka FAA.
True it took them very long time, kuna majamaa hapa wa Kenya they had false hope that KQ will flying to US by October 2016. Na mimi nikawapa picha halisi kwamba without permission from homeland security and FAA, KQ is going nowhere. Leo wameamini.
 
Back
Top Bottom