mtanganyika mpya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 424
- 302
Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali inatafuta kibari na uhalali kutumia hela ya walipa kodi. Huku kwetu hela ingetoweja tu wenzetu wanatafuta baraka za bunge kwanza. Ili wasije laumiwa baadae.Shirika wanaliondoa kwenye madeni kwa kulitaifisha??? Cjaelewa hapo au walikuwa wanamaana ya kulibinafsisha??
Mkuu sijaelewa wakitaifisha si yawa mali ya serikali ?Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwaView attachment 1160794
Hawa jirani siku hizi sijui wana matatizo gani kwa kweli...Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwaView attachment 1160794
Manaake ni kwamba serikali inalipia madeni ya shirika na kuliokoa lisifilisike ivyo bas inabaki na share zote. Wewe ukiwa na madeni nyumba yako inapigwa mnada mimi nikikupa pesa ulipe deni manaake nyumba yako ni ya kwangu hadi utakaponilipa deni languShirika wanaliondoa kwenye madeni kwa kulitaifisha??? Cjaelewa hapo au walikuwa wanamaana ya kulibinafsisha??
Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwaView attachment 1160794
Naomba ufafanuzi mimi mtanzania ni mmoja wa wamiliki wa Kenya airways.Nilinunua hisa za Kenya Airways Tanzania kwenye soko la hisa Tanzania.Serikali ya Kenya kulichukua watanunua hisa zetu au?Nasikitika sana napo ona jirani yangu na mfano kwa afrika mashariki kafikia hii hatua.
Nilinunua hisa za KQ kwenye soko la mitaji la Dsm, DSE. VP his a zangu na umiliki wangu KQ?
Mtaniwia radhi kwa kusema hili. Ila hii ni Kenya, sio nchi yenu ya Tz ya ubabe na ubabaishaji mwingi. Kutaifisha huku Kenya haimaanishi kunyanyasa wamiliki wa mali flani au hisa kama mlivofanya na wale ng'ombe wa wafugaji wetu ambao mliwapiga mnada. Kama ni kweli kwamba mna hisa za KQ acheni kupanick. Ikifikia hatua hiyo itakuwa ni process ambayo itajadiliwa bungeni na sheria za kutaifisha zitazingatiwa. Ili kuhakisha kwamba hakutakuwa na mwanya ambao utatumiwa na mmiliki yeyote wa hisa za KQ kufika mahakamani na kuusitisha mpango huo. Haki yenu mtapata, wenzenu wanaheshimu sheria zao.Naomba ufafanuzi mimi mtanzania ni mmoja wa wamiliki wa Kenya airways.Nilinunua hisa za Kenya Airways Tanzania kwenye soko la hisa Tanzania.Serikali ya Kenya kulichukua watanunua hisa zetu au?
Sija panick wewe hisa namiliki kampuni kihalali usinilinganishe na hao ng'ombe wasio hata na karatasi moja.Namiliki Kenya Airways kihalal Kama mmoja wa wamiliki walionunua hisa sokoni Sio barabarani Niliuliza hivyo sababu hakuna mkutano wa wamiliki yaani shareholders general meeting iliyofanyika kuhusu hiyo issue!!! Issue za kampuni yenye hisa haiamuliwi na bunge wewe uko gizani mno hata Huelewi kitu.Wanahisa ndio waamuzi wa nini kifanyike waweza muuzia yeyote akifika Bei awe serikali ya Kenya au yeyote.Unaketa porojo tu hapa za siasa za kuokoteza wakati kichwani mweupe huna ulijualoMtaniwia radhi kwa kusema hili. Ila hii ni Kenya, sio nchi yenu ya Tz ya ubabe mwingi na ubabaishaji. Kutaifisha kikenya haimaanishi kuwapokonya au kuwanyanyasa wamiliki wa mali flani au hisa kama mlivofanya na wale ng'ombe wa wafugaji wetu ambao mliwapiga mnada. Kama ni kweli kwamba mna hisa za KQ acheni kupanick. Kama itafikia hatua hiyo itakuwa ni process ambayo itafika na kujadiliwa bungeni na mikakati kufatwa ya kuzingatia sheria za kutaifisha. Ili kuhakisha kwamba hakutakuwa na mwanya ambao utatumiwa na mmiliki yeyote wa hisa za KQ ambaye atafika mahakamani na kusitisha mpango wote.
Hizi ng'ombe hukuuma sana😂😂😂Mtaniwia radhi kwa kusema hili. Ila hii ni Kenya, sio nchi yenu ya Tz ya ubabe na ubabaishaji mwingi. Kutaifisha huku Kenya haimaanishi kunyanyasa wamiliki wa mali flani au hisa kama mlivofanya na wale ng'ombe wa wafugaji wetu ambao mliwapiga mnada. Kama ni kweli kwamba mna hisa za KQ acheni kupanick. Ikifikia hatua hiyo itakuwa ni process ambayo itajadiliwa bungeni na sheria za kutaifisha zitazingatiwa. Ili kuhakisha kwamba hakutakuwa na mwanya ambao utatumiwa na mmiliki yeyote wa hisa za KQ kufika mahakamani na kuusitisha mpango huo. Haki yenu mtapata, wenzenu wanaheshimu sheria zao.
Povu lote hili ni la nini? Umeuliza swali nami nikakujibu na nikakupa 'perspective' ya kisheria. Alafu hata uamuzi wa kutaifisha KQ haujatangazwa rasmi. Hata mimi pia nilikuwa na hisa za KQ ila niliziuza mwaka jana. Haya basi, kalale posta ukingoja barua kutoka kwa board ya KQ.Sija panick wewe hisa namiliki kampuni kihalali usinilinganishe na hao ng'ombe wasio hata na karatasi moja.Namiliki Kenya Airways kihalal Kama mmoja wa wamiliki walionunua hisa sokoni Sio barabarani Niliuliza hivyo sababu hakuna mkutano wa wamiliki yaani shareholders general meeting iliyofanyika kuhusu hiyo issue!!! Issue za kampuni yenye hisa haiamuliwi na bunge wewe uko gizani mno hata Huelewi kitu.Wanahisa ndio waamuzi wa nini kifanyike waweza muuzia yeyote akifika Bei awe serikali ya Kenya au yeyote.Unaketa porojo tu hapa za siasa za kuokoteza wakati kichwani mweupe huna ulijualo
NO, kwa KQ serikali hailiipii madeni balj inaliuza shirika ili kutokana na hela watakazopata walipe madeni zitakazobaki zitakua za wenye shirika. Maana imeonekana hata serika ikiilopia KQ bado haitaweza kuzalisha faida na mpango wao wa kupewa JKIA ili waiendeshe ili iwasaifie kupunguza madeni yao imeonekana pia itakua usmuzi mbaya.Manaake ni kwamba serikali inalipia madeni ya shirika na kuliokoa lisifilisike ivyo bas inabaki na share zote. Wewe ukiwa na madeni nyumba yako inapigwa mnada mimi nikikupa pesa ulipe deni manaake nyumba yako ni ya kwangu hadi utakaponilipa deni langu
Zote mtalipwa..Naomba ufafanuzi mimi mtanzania ni mmoja wa wamiliki wa Kenya airways.Nilinunua hisa za Kenya Airways Tanzania kwenye soko la hisa Tanzania.Serikali ya Kenya kulichukua watanunua hisa zetu au?