Kenya Airways kutaifishwa

Kenya Airways kutaifishwa

mtanganyika mpya

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
424
Reaction score
302
Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwa
IMG-20190723-WA0003.jpeg
 
Nasikitika sana napo ona jirani yangu na mfano kwa afrika mashariki kafikia hii hatua.
 
Shirika wanaliondoa kwenye madeni kwa kulitaifisha??? Cjaelewa hapo au walikuwa wanamaana ya kulibinafsisha??
 
Serikali inatafuta kibari na uhalali kutumia hela ya walipa kodi. Huku kwetu hela ingetoweja tu wenzetu wanatafuta baraka za bunge kwanza. Ili wasije laumiwa baadae.
 
Shirika wanaliondoa kwenye madeni kwa kulitaifisha??? Cjaelewa hapo au walikuwa wanamaana ya kulibinafsisha??
Manaake ni kwamba serikali inalipia madeni ya shirika na kuliokoa lisifilisike ivyo bas inabaki na share zote. Wewe ukiwa na madeni nyumba yako inapigwa mnada mimi nikikupa pesa ulipe deni manaake nyumba yako ni ya kwangu hadi utakaponilipa deni langu
 
Afadhali..manake eti shirika linapata hasara miaka sita..na bado hatujaona vikwazo vyovyote kutoka wenye zile leased aircraft wala kuzitishia kuzichukua...hku pia linaendelea kutanua route na watu wanalipwa mishahara vizuri, kodi wanalipa vizuri, loans pia kila mwaka wanalipa...

Huo ni uhuni tu ilkuwa unaendelea
Ni mwendo wa loss hatimaye Shirikika kutaifishwaView attachment 1160794
 
Nasikitika sana napo ona jirani yangu na mfano kwa afrika mashariki kafikia hii hatua.
Naomba ufafanuzi mimi mtanzania ni mmoja wa wamiliki wa Kenya airways.Nilinunua hisa za Kenya Airways Tanzania kwenye soko la hisa Tanzania.Serikali ya Kenya kulichukua watanunua hisa zetu au?
 
Nilinunua hisa za KQ kwenye soko la mitaji la Dsm, DSE. VP his a zangu na umiliki wangu KQ?
 
Mtaniwia radhi kwa kusema hili. Ila hii ni Kenya, sio nchi yenu ya Tz ya ubabe na ubabaishaji mwingi. Kutaifisha huku Kenya haimaanishi kunyanyasa wamiliki wa mali flani au hisa kama mlivofanya na wale ng'ombe wa wafugaji wetu ambao mliwapiga mnada. Kama ni kweli kwamba mna hisa za KQ acheni kupanick. Ikifikia hatua hiyo itakuwa ni process ambayo itajadiliwa bungeni na sheria za kutaifisha zitazingatiwa. Ili kuhakisha kwamba hakutakuwa na mwanya ambao utatumiwa na mmiliki yeyote wa hisa za KQ kufika mahakamani na kuusitisha mpango huo. Haki yenu mtapata, wenzenu wanaheshimu sheria zao.
 
Mtaniwia radhi kwa kusema hili. Ila hii ni Kenya, sio nchi yenu ya Tz ya ubabe mwingi na ubabaishaji. Kutaifisha kikenya haimaanishi kuwapokonya au kuwanyanyasa wamiliki wa mali flani au hisa kama mlivofanya na wale ng'ombe wa wafugaji wetu ambao mliwapiga mnada. Kama ni kweli kwamba mna hisa za KQ acheni kupanick. Kama itafikia hatua hiyo itakuwa ni process ambayo itafika na kujadiliwa bungeni na mikakati kufatwa ya kuzingatia sheria za kutaifisha. Ili kuhakisha kwamba hakutakuwa na mwanya ambao utatumiwa na mmiliki yeyote wa hisa za KQ ambaye atafika mahakamani na kusitisha mpango wote.
Sija panick wewe hisa namiliki kampuni kihalali usinilinganishe na hao ng'ombe wasio hata na karatasi moja.Namiliki Kenya Airways kihalal Kama mmoja wa wamiliki walionunua hisa sokoni Sio barabarani Niliuliza hivyo sababu hakuna mkutano wa wamiliki yaani shareholders general meeting iliyofanyika kuhusu hiyo issue!!! Issue za kampuni yenye hisa haiamuliwi na bunge wewe uko gizani mno hata Huelewi kitu.Wanahisa ndio waamuzi wa nini kifanyike waweza muuzia yeyote akifika Bei awe serikali ya Kenya au yeyote.Unaketa porojo tu hapa za siasa za kuokoteza wakati kichwani mweupe huna ulijualo
 
Mtaniwia radhi kwa kusema hili. Ila hii ni Kenya, sio nchi yenu ya Tz ya ubabe na ubabaishaji mwingi. Kutaifisha huku Kenya haimaanishi kunyanyasa wamiliki wa mali flani au hisa kama mlivofanya na wale ng'ombe wa wafugaji wetu ambao mliwapiga mnada. Kama ni kweli kwamba mna hisa za KQ acheni kupanick. Ikifikia hatua hiyo itakuwa ni process ambayo itajadiliwa bungeni na sheria za kutaifisha zitazingatiwa. Ili kuhakisha kwamba hakutakuwa na mwanya ambao utatumiwa na mmiliki yeyote wa hisa za KQ kufika mahakamani na kuusitisha mpango huo. Haki yenu mtapata, wenzenu wanaheshimu sheria zao.
Hizi ng'ombe hukuuma sana😂😂😂
 
Hivi mlisema huko kwenu serikali haifanyi biashara ... mka wafanya na majitu ya ufipa yakawa yanapinga kila kitu so mtawaambia nini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 
Sija panick wewe hisa namiliki kampuni kihalali usinilinganishe na hao ng'ombe wasio hata na karatasi moja.Namiliki Kenya Airways kihalal Kama mmoja wa wamiliki walionunua hisa sokoni Sio barabarani Niliuliza hivyo sababu hakuna mkutano wa wamiliki yaani shareholders general meeting iliyofanyika kuhusu hiyo issue!!! Issue za kampuni yenye hisa haiamuliwi na bunge wewe uko gizani mno hata Huelewi kitu.Wanahisa ndio waamuzi wa nini kifanyike waweza muuzia yeyote akifika Bei awe serikali ya Kenya au yeyote.Unaketa porojo tu hapa za siasa za kuokoteza wakati kichwani mweupe huna ulijualo
Povu lote hili ni la nini? Umeuliza swali nami nikakujibu na nikakupa 'perspective' ya kisheria. Alafu hata uamuzi wa kutaifisha KQ haujatangazwa rasmi. Hata mimi pia nilikuwa na hisa za KQ ila niliziuza mwaka jana. Haya basi, kalale posta ukingoja barua kutoka kwa board ya KQ.
 
Manaake ni kwamba serikali inalipia madeni ya shirika na kuliokoa lisifilisike ivyo bas inabaki na share zote. Wewe ukiwa na madeni nyumba yako inapigwa mnada mimi nikikupa pesa ulipe deni manaake nyumba yako ni ya kwangu hadi utakaponilipa deni langu
NO, kwa KQ serikali hailiipii madeni balj inaliuza shirika ili kutokana na hela watakazopata walipe madeni zitakazobaki zitakua za wenye shirika. Maana imeonekana hata serika ikiilopia KQ bado haitaweza kuzalisha faida na mpango wao wa kupewa JKIA ili waiendeshe ili iwasaifie kupunguza madeni yao imeonekana pia itakua usmuzi mbaya.
 
Naomba ufafanuzi mimi mtanzania ni mmoja wa wamiliki wa Kenya airways.Nilinunua hisa za Kenya Airways Tanzania kwenye soko la hisa Tanzania.Serikali ya Kenya kulichukua watanunua hisa zetu au?
Zote mtalipwa..
 
Back
Top Bottom