mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Serikali haina hisa kwenye Vodacom that is pure private company!
Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga
Nimelewa ni kiasi gani Kenya National inteligemce service NIS inavyozidi ujanja TISS linapokuja swala la maslahi ya taifa, kumbe zile mbwembwe za kujemga urafiki kati ya Uhuru na Raila ilikuwa ni mbinu ya kumkamata mzee wa misifa?? Naye bila kujua akaingia mtegoni.
NIS iliwalazimisha uhusiano mwema kati ta Raila na Uhuru ili.kulinda maslahi ya wakenya.
Sasa Lamu port hii itaifikisha mbali sana. Hata hizi meli ndogo tu haizifiki dar port lazima zipite Mombasa.