Kenya Airways Náirobi to New York 1 year Old.

Serikali haina hisa kwenye Vodacom that is pure private company!

Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga

Nimelewa ni kiasi gani Kenya National inteligemce service NIS inavyozidi ujanja TISS linapokuja swala la maslahi ya taifa, kumbe zile mbwembwe za kujemga urafiki kati ya Uhuru na Raila ilikuwa ni mbinu ya kumkamata mzee wa misifa?? Naye bila kujua akaingia mtegoni.

NIS iliwalazimisha uhusiano mwema kati ta Raila na Uhuru ili.kulinda maslahi ya wakenya.

Sasa Lamu port hii itaifikisha mbali sana. Hata hizi meli ndogo tu haizifiki dar port lazima zipite Mombasa.
 
Umekopi kutoka wapi hii comment ya kijinga?
 
We ni jinga sana yaani unamuamini zitto!
 
CEO wa Vodacom Tz Ni Mtanzania mweusi??😂😂😂
Vodacom na KQ kuna tofauti kubwa,
Shirika la serikali na shirika binafsi,
Yaani unamleta mzungu ili awe CEO wa shirika la serikali 😂😂😂
Au KQ ni shirika binafsi 😂😂😂
 
ATCL Ni ya Serikali ila inakamatwa na mkulima binafsi hivi kwamba Ndege zenu za Serikali haziwezi kuenda soko kuu la South Africa...Magu mwenyewe amamuogopa mkulima 😭😭😭
 
Ndio shida ya kutumia makwapa kufikiria.
 
Si mlikataa mkenya sababu mumpe mtanzania mweusi..kumeendaje tena?
Kw kuchange gear hewani hamjambo[emoji1787][emoji1787]
Serikali haina hisa kwenye Vodacom that is pure private company!
 
Si mlikataa mkenya sababu mumpe mtanzania mweusi..kumeendaje tena?
Kw kuchange gear hewani hamjambo[emoji1787][emoji1787]
Vibali vya kufanyakazi TZ vinatolewa na serikali siyo Kampuni mkuu!
 
Back
Top Bottom