figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Watu wasiopungua 40 wanaripotiwa kufariki kwenye ajali ya mapema leo kwenye barabara kuu ya Kisumu Muhoroni baada ya Basi linalomilikiwa na kampuni ya Western Express kupoteza mwelekeo na kubingirika mara kadhaa
majeruhi wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Muhoroni.
AJALI: ZAIDI YA WATU 40 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI KUPINDUKA
-
Ajali hiyo imetokea leo Oktoba 10 mapema asubuhi kwenye barabara kuu ya Kisumu-Muhoroni katika eneo la Fort Tenan huko Kericho nchini Kenya
-
Kamanda wa Polisi wa Fort Tenan, OCS Charles Ocharo amesema basi hilo lilikuwa likielekea Kisumu kutokea Nairobi wakati lilipotoka nje ya barabara na kisha kubiringika mara kadhaa
-
Idadi ya majeruhi bado haijajulikana huku chanzo cha ajali hiyo pia hakijajulikana
=====
UPDATES
Idadi ya waliopoteza maisha yaongezeka. Wanaume 31,wanawake 12 na watoto 7,wamepoteza maisha kwenye ajali hii
======
NAIROBI, Kenya, Oct 10 – A dawn accident has claimed more than 40 lives along Londiani-Muhoroni road, within Kericho County.
The accident involved a Western Express bus that was travelling from Nairobi to Kakamega.
According to police, the bus had 52 passengers.
Rift Valley Provincial Traffic Officer Zero Arome says no other vehicle was involved in the accident.
Those who sustained injuries are undergoing treatment in Muhoroni hospital.
UPDATES
According to Kericho County Police Commander James Mogera, the deceased include 31 men, 12 women and seven children.
======
Rais Magufuli kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter amewapa pole raia wote wa Kenya kufuatia ajali ya basi iliotokea mapema leo huko Fort Ternan - Kaunti ya Kericho
> Idadi ya vifo katika ajali hiyo imefikia 55. Basi hilo lilibeba abiria 67