It is true that no Kenyan life was lost but at the same time Al shabab was very very strong in Somalia. So you are saying that Kenya should have allowed Shabab to continue growing stronger and stronger as long as we don't lose Kenyan lives? That doesn't make sense to me. Step one is to degrade and weaken Shabab, step two ndio kulinda border. Kumbuka kujaribu kulinda border ya kilomita mia tano wakati Shabab ni strong ni jambo gumu sana. Lakini kama Shabab ni weak then inakuwa rahisi kulinda border. Naamini Kenya hatujafanya kazi nzuri kwa kulinda border kwa maoni yangu, lakini pia naamini tumefanya vizuri kwa kuweaken Shabab. 2011 Shabab ilikuwa moto wa kuotea mbali, pengine hukuwa ukiwatch news. Walikuwa na kitengo cha pirates na pia walikuwa wanacontrol karibu Somalia nzima. Ni kama kuishi na adui yako kama Jirani yako, hujui ni siku gani atakuja nyumbani kwako kukumaliza, lakini unajua lazima atakuja kukuangamiza aidha leo au kesho au kesho kutwa lakini lazima aje kukuangamiza. Inabidi utangulize mashambulizi kabla adui yako hajajipanga.