Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
ambao haukati sawa sawa kwa sababu ya ubutu wake na nguvu ya mshika msumeno kuwa hafifu.Sheria ni msumeno..any idea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ambao haukati sawa sawa kwa sababu ya ubutu wake na nguvu ya mshika msumeno kuwa hafifu.Sheria ni msumeno..any idea?
Ndo hapo sasa....fweza inanunua hukumu!Huyu Hakimu lazima amekula
mlungula ama amepata maagizo kutoka 'higher places' if you know what
I'm saying.
Kumbuka huyu ni mwaafrika wa pili anayeuwawa kwa kupigwa risasi
na huyu mzungu.Na katika both cases amenusurika kuswekwa lupango.
Kama waafrika kweli tujue kuna kazi.Hata katika nchi yako huna haki
na huna mahala pa kukimbilia for justice.
Yawezekana wakubwa wanaogopa Kenya isijekuwa kama Zimbabwe maana huyu jamaa ni wale ma-settler wa Kiingereza na anamiliki ekari 56,000 ya ardhi yenye rutuba huko Kenya, yaleyale ya Zimbabwe.
Naona watu mnaongea na ma-emotions kibao, lakini jaji ktk utoaji hukumu anaangalia sheria zinasemaje according to his or her professional competence , there is no room for opinions nor emotions ktk kazi za kitaalam...this is what laid down the verdict.
The irony of it is that Thomas Cholmondeley shot a man point blank. Convicting him of manslaughter means he did not intend to kill the man but anyhow the man still died from his action. How the heck do you shoot someone point blank unless you intend to kill the person???
The 8-month sentence is nothing to sneeze at considering the high probability of Thomas Cholmondeley being raped in prison and get AIDS. Unless he serves his time in an isolation which I doubt very much. His outlook is very bleak in an African prison.
Truth,
people like Cholmondeley do not get jailed with the regular prison
population.They get preferential treatment from the word go. They
are secluded and have access to media and beds.Their visitation rights
are unlimited and family members bring them almost anything they want.
Therfore his time in prison will not be as bleak as you are imagining.
In the meantime he has been in lock up for approximately 3yrs as this
trial was going on and off.
Do you have any evidence that Cholmondeley is being afforded this treatment?
Thats why we are always jittery with Kenya, this guy "owns" 50,000 ha of Kenyan land, a poor Kenyan gets blasted to hell for collecting wood in the white guys farm.The Kenya Judiciary saves the white guys skin by letting him off with a speck on the cheek.
The you Kenyans have the audacity of laughing at Mugabe?
The life of an ordinary Kenyan is so cheap!
Any way thats your country, if you can give your land to foreighners and expect to reap the same from your fellow East African brothers is a sort of an anticlimax.
With the Migingo saga hovering in the horizon, this makes the EA Federation not only unlikey but udesirable a s well.
Hivi wadau hakuna mtu hapo Kenya anayeweza kujitolea kumaliza udhia wa huyu kaburu kwa staili ya manslaughter?rmashauri;
So the Judges hands were tied and he had to
say this stupid thing eti malice 'aforethought' haikuonekana na kwa
hivyo hakua na kusudio la kuua.
One thing about the Law ni kwamba it can be used to promote
justice yet at the same time it can be used to deny justice.All
they do is use this mixed up jargon with heavy vocabulary to
confuse people kisha muuaji goes free.Kumbuka jamaa kaua mara
mbili na anaachwa based on the same stupid premise, eti hakukusudia
kuua ama hakuna ushahidi unaoelekeza kua alikua kusudio hilo.What
person would kill another and then go to court and say he intended
to do it?..Hakuna.na hapo ndipo tunafumbwa macho.
I'll be back with more.
Hivi wadau hakuna mtu hapo Kenya anayeweza kujitolea kumaliza udhia wa huyu kaburu kwa staili ya manslaughter?
It wont be a premeditated move ofcourse!!!
Inavoonekana kule black Kenyans ni 2nd class citizens. Naelekea kuamini. Maana kuna jamaa yangu amewahi kukaa huko alikuwa ananisimulia jinsi Wakenya wanavyowahusu wazungu huwezi amini. Anasema wanatetemekewa kama "miungu" vile na kila mara chorus ya mazungumzo ya black kenyans kwa mzungu yeyote ni "ndiyo bwana mkubwa". Yaani ni kama enzi za utumwa vile. Jamaa yangu alisifu sana watanzania kwamba kumbe sisi tumeondokana na unyonge na kasumba nyingi. japo sasa ni kama zinaanza kurudi kidogokidogo.Are black Kenyans 2nd Citizens after Wazungus in Kenya?
Kenyans are so proud of Wazungus, it is a negative mind set!
Good the at least huyu mzungu atafungwa! The maximum sentence ni life imprisonment!
And in Tanzania we have Indians and Arabs (and the occasional white perso, our good friend Sinclair from Tanzania Royalty) stealing everything that is not nailed to the ground and nothing happens to them.
Black Tanzanians are refused entry into certain hotels, are refused loans from banks and are generally treated with disrespect in their own country.
I am really sick of this African mentality of thinking everything foreign or white is somehow superior to us and we must bow down to them.
When are we going to wake up? When?
Hee basi hao wakenya wakija Tanzania na kuajiriwa nao hujipandisha na kujifanya kama wazungu!hata kuku wa kwao huwasifia kuwa ni bora kuliko wa TZ kila kitu kwao ni bora kuliko vya TZ na ukimwangalia mtu anayejisifia ni **** tu