Haha jamaa unafikir kutembea uchi mchezo eehSenegal wale jamaa waliwakilisha Africa vilivyo kule Kwa World cup! Duh! Yule coach wao marasta jamaa ametulia utadhani anacheza mchezo wa chess... Tukiwafunga navua nguo nitembee uchi! Siku hio mkiskia Kwa habari nyenginezo (in other news) jamaa mmoja alitembea uchi mtaani, mjue ni Mimi.....
Alafu aljeria na Senegal wamejaza wachezaji wao EPL a ligi za Europe.... Itakua Tu unasikia majina unayoyajua na yote si ya timu yako!
Mimi naona ktk magroup yote namba 1na namba 2wanapita
ila ni kwel...nmesahau km watanzania ni wazunguYou mean huyo nimemuona #42?? That ain't a Tanzanian. Watz si weusi
Najua hatutaishinda Senegal wala Algeria hata tuige dua mara ngapi, mimi na shabikia nchi yangu lakini ukiniambia ni bet, nita bet Senegal ndo ataongoza hio group, Sisi kenya na TZ tutapigania best looser!
Hili group siyo la kufuzu Afcon, Hii ni Afcon yenyewe.kipindi cha nyuma tulikua na magroup mepesi kufuzu afcon ila tuliangukia pua ila hapa naimani tutafanya maajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio lakini hapo kwa kumuofia ni senegal tu ila hao waarabu ufalme wao umeisha wa mpira
Hehe... Luangalilaningependa siku tukicheza TZ na Kenya niutazame mupira na Janerose mzalendo ayaaaaaaaaammmmmmmmmmmmm luangalila