Kenya and Tanzania in group C

Kenya and Tanzania in group C

Senegal wale jamaa waliwakilisha Africa vilivyo kule Kwa World cup! Duh! Yule coach wao marasta jamaa ametulia utadhani anacheza mchezo wa chess... Tukiwafunga navua nguo nitembee uchi! Siku hio mkiskia Kwa habari nyenginezo (in other news) jamaa mmoja alitembea uchi mtaani, mjue ni Mimi.....

Alafu aljeria na Senegal wamejaza wachezaji wao EPL a ligi za Europe.... Itakua Tu unasikia majina unayoyajua na yote si ya timu yako!
Haha jamaa unafikir kutembea uchi mchezo eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe wakweli wakenya wenzangu, Tanzania wana chance kubwa zaidi yetu. Maanake wana mtaalamu wao aliyebobea kweli kweli kwenye masuala kama haya. 😀😀😀
13jbid-jpg.902318
 
Haha jamaa unafikir kutembea uchi mchezo eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua hatutaishinda Senegal wala Algeria hata tuige dua mara ngapi, mimi na shabikia nchi yangu lakini ukiniambia ni bet, nita bet Senegal ndo ataongoza hio group, Sisi kenya na TZ tutapigania best looser!
 
Back
Top Bottom