tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Haha jamaa unafikir kutembea uchi mchezo eehSenegal wale jamaa waliwakilisha Africa vilivyo kule Kwa World cup! Duh! Yule coach wao marasta jamaa ametulia utadhani anacheza mchezo wa chess... Tukiwafunga navua nguo nitembee uchi! Siku hio mkiskia Kwa habari nyenginezo (in other news) jamaa mmoja alitembea uchi mtaani, mjue ni Mimi.....
Alafu aljeria na Senegal wamejaza wachezaji wao EPL a ligi za Europe.... Itakua Tu unasikia majina unayoyajua na yote si ya timu yako!
Sent using Jamii Forums mobile app