Wakumbusheni Kenya
Kuna vijana wetu 12 tuliwapoteza Kongo baada ya kupambana masaa 12 na waasi Wa Adf ..... Bila msaada""; msitu mnene" wala hawajakimbia kambi;;;
Lakin hawa wakenya huko somalia mnakimbia kambi hatariii( No Uvumilivu) ,,""" Askar mkiguswa kidog mnafarakana vibaya[emoji23][emoji23]
TPDF """" Ale wiiiiiiiiiiiii[emoji123]View attachment 1247436
Kaka mbna wahamisha mada??ha ha you over-rate yourself so much, you have been brainwashed by the CCM govt that you think Tanzania is the greatest nation on earth.
Same thing during Ujamaa, until Nyerere admited he had failed, Bongolalas were following like flies follow shit.
muuulize Tanzania ni nchi ya ngapi Duniani kuwa na wanausalama wa Taifa...?...akijibu vyema tutampa zawadi na atajua vile watu huishi vipi na akili zenye plan na si akili mali
Vijana wa mapanga ndio waliwavamia na mka pambana nao masaa 12...
Usitake kupotosha watu hapa...
Je vita vya RPG mtaviweza?
BMarekani si pia alipamban na wavaa makobazi, je alishinda..
Marekani na uwezo wake wote, mpka leo mission zake hazijakua complished..
Jaribuni muingie somalia halafu muone mziki wa wavaa kobadhi..
Tanzania haijawai pigana vita km hivi kabisa...mission za siku mbili tatu ni mission gani hzo, si hta gsu wetu wanafanya tu
Bastola imekua panga siku hz??
Basi hatari.
Mlikatwa mapanga..unafikiria hatujui
We jamaa narudia kukusisitiza,ground battle USA haziwezi.
Sio tu Somalia kapashindwa hata Vietnam kapashindwa.
US-army wanaweza cyber war ila sio ground hawana ubavu.
Kama hao wavaa makobazi wagumu mbona warusi na wairan wanawamudu???
Wachukue hao Alshabab wako tuwaeke msitu mmoja wote halafu tuchukue wajeda 30 tu wa Hassan Rouhan(Iran),ama Russia ama China nakupa siku tu huwaoni Alshabab wote.
USA ground battle hana ubavu fuatilia historia zao.
USA ktk ground battle alimshindwa hadi Japan ktk WW2 akachukua alternative ya kutumia atomic bomb.
B
Mbna usiseme tuwaweke na jwtz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nilimzungumzia USA ambaye umempa umahiri nikatolea mfano na wababe wenzake Russia na Iran.
Ktk ishu ya alshabaab ni vigumu Tz kujiingiza labda Alshabab wawaanze kwa kuchokonoa mipaka ya Tz kwasababu.
Alshabab wanaweza kuingia kwa kujifanya km raia wakimbizi.
Kwahyo jeshi laweza kuwadhibiti alshabab huko nje kumbe huku ndani wameacha mamba.
Labda waweke wana intelijensia wa kukagua hawa wasomali km ifanyavyo mataifa makubwa basi hapo itakua rahisi.
Kikwete aliombwa kupeleka majeshi ila alikataa.
Sio km Alshabab wagumu bali ni kuhofia usalama wa raia.
Maana wale jamaa wanaweza kujisweka km wakimbizi na kuvuka mipaka na wakimbizi hawakaguliwi.Ni km majambaka ya Burundi yalivyokua yakijipenyeka km wakimbizi JW ilifanikiwa kuwadhibiti lakini hasara ya raia ilipatikana.
Ishu kudhibiti ndani.
Hili jeshi la Kenya linaloiba mikate supermarket???
Hilo ni jeshi au genge la wahuni tu!?
Yaani nyie, hata FFU wetu wanawatoa Knock out!Njoo ujaribu, waulize walioingia dusit...watakusimulia kilicho wakuta
Marekani si pia alipamban na wavaa makobazi, je alishinda..
Marekani na uwezo wake wote, mpka leo mission zake hazijakua complished..
Jaribuni muingie somalia halafu muone mziki wa wavaa kobadhi..
Tanzania haijawai pigana vita km hivi kabisa...mission za siku mbili tatu ni mission gani hzo, si hta gsu wetu wanafanya tu
Kwhyo kilichoandikwa ni uongo?[emoji848][emoji848][emoji848]
Yaani nyie, hata FFU wetu wanawatoa Knock out!
Askari wenu midebwedo sana!
Yaani unaiona Marekani kuwa kama mungu kwako. Hao USA walipgwa Vietnam bilrvile, so kushindwa kule Somalia sio ajabu. Mnapigwa ninyi na Wamarekani mnaowaabudu. Marekani walikimbia vita vya Somalia baada ya kuona kuwa walifanya makosa kuingia Somali na vile vita havina faida kwao, wakaondoa majeshi yao, Kenya mmeingia kichwa-kichwa, kushinda hamuwezi kuondoka hamwezi.
Waganda wana majeshi yao Somalia, mbona hawapigwi kihivyo kama KDF? KDF ni dhaifu, kimkakati na kimedani, kubalini hilo.
Vv
Wikipedia hata wewe unaweza kubandika hiki unachokiandika humu, wikipedia ni kama Jamiiforum tu.
Vv
Mdogo wangu ngoja nikupe siri ambayo wewe na wakenya wenzio hamuijui nadhani hiyo itafanya uelewe unapoambiwa Marekani ground battle haiwezi..unaikumbuka vita ya Iraq?..ile vita Mmarekani ground battle alikuwa anazidiwa na waarabu na msaada pekee ambao ulifanya Marekani ishinde vita ni makomandoo wa Tanzania ambao waliombwa watoe msaada wa mapambano ya ground battle na siku chache tu Marekani ikashinda vita Iraq nilitaka nisikupe hii siri lakini kwakuwa hutaki kuelewa unavyoambiwa ngoja nikwambie..unapoambiwa Watz wapo vizuri katika medani za kivita acha kukaza misuli ya makalio tulia tu upewe facts sio mnakaa Kibera mnadanganyana ujinga tu..cheki hiyo picha chini utamuona mzaramo mwenzetu akiwa na beji ya Tanzania hapo ni katika moja ya mission za Desert storm ya IraqHujajibu swali...
Je kilichoandikwa ni uongo?
Mdogo wangu ngoja nikupe siri ambayo wewe na wakenya wenzio hamuijui nadhani hiyo itafanya uelewe unapoambiwa Marekani ground battle haiwezi..unaikumbuka vita ya Iraq?..ile vita Mmarekani ground battle alikuwa anazidiwa na waarabu na msaada pekee ambao ulifanya Marekani ishinde vita ni makomandoo wa Tanzania ambao waliombwa watoe msaada wa mapambano ya ground battle na siku chache tu Marekani ikashinda vita Iraq nilitaka nisikupe hii siri lakini kwakuwa hutaki kuelewa unavyoambiwa ngoja nikwambie..unapoambiwa Watz wapo vizuri katika medani za kivita acha kukaza misuli ya makalio tulia tu upewe facts sio mnakaa Kibera mnadanganyana ujinga tu..cheki hiyo picha chini utamuona mzaramo mwenzetu akiwa na beji ya Tanzania hapo ni katika moja ya mission za Desert storm ya IraqView attachment 1248791