Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

Vijana wa mapanga ndio waliwavamia na mka pambana nao masaa 12...
Usitake kupotosha watu hapa...

Je vita vya RPG mtaviweza?
Wakumbusheni Kenya
Kuna vijana wetu 12 tuliwapoteza Kongo baada ya kupambana masaa 12 na waasi Wa Adf ..... Bila msaada""; msitu mnene" wala hawajakimbia kambi;;;

Lakin hawa wakenya huko somalia mnakimbia kambi hatariii( No Uvumilivu) ,,""" Askar mkiguswa kidog mnafarakana vibaya[emoji23][emoji23]

TPDF """" Ale wiiiiiiiiiiiii[emoji123]View attachment 1247436
 
ha ha you over-rate yourself so much, you have been brainwashed by the CCM govt that you think Tanzania is the greatest nation on earth.
Same thing during Ujamaa, until Nyerere admited he had failed, Bongolalas were following like flies follow shit.
Kaka mbna wahamisha mada??
Sisi tunalinganisha jeshi letu na lenu.
Mambo ya CCM na Nyerere yameingiaje??
 
Halafu pia alete kabisa na nguvu ya majeshi[emoji1787][emoji1787]
muuulize Tanzania ni nchi ya ngapi Duniani kuwa na wanausalama wa Taifa...?...akijibu vyema tutampa zawadi na atajua vile watu huishi vipi na akili zenye plan na si akili mali
 
We jamaa narudia kukusisitiza,ground battle USA haziwezi.
Sio tu Somalia kapashindwa hata Vietnam kapashindwa.
US-army wanaweza cyber war ila sio ground hawana ubavu.
Kama hao wavaa makobazi wagumu mbona warusi na wairan wanawamudu???
Wachukue hao Alshabab wako tuwaeke msitu mmoja wote halafu tuchukue wajeda 30 tu wa Hassan Rouhan(Iran),ama Russia ama China nakupa siku tu huwaoni Alshabab wote.
USA ground battle hana ubavu fuatilia historia zao.
USA ktk ground battle alimshindwa hadi Japan ktk WW2 akachukua alternative ya kutumia atomic bomb.
Marekani si pia alipamban na wavaa makobazi, je alishinda..

Marekani na uwezo wake wote, mpka leo mission zake hazijakua complished..
Jaribuni muingie somalia halafu muone mziki wa wavaa kobadhi..

Tanzania haijawai pigana vita km hivi kabisa...mission za siku mbili tatu ni mission gani hzo, si hta gsu wetu wanafanya tu
B
 
Mbna usiseme tuwaweke na jwtz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mm nilimzungumzia USA ambaye umempa umahiri nikatolea mfano na wababe wenzake Russia na Iran.
Ktk ishu ya alshabaab ni vigumu Tz kujiingiza labda Alshabab wawaanze kwa kuchokonoa mipaka ya Tz kwasababu.
Alshabab wanaweza kuingia kwa kujifanya km raia wakimbizi.
Kwahyo jeshi laweza kuwadhibiti alshabab huko nje kumbe huku ndani wameacha mamba.
Labda waweke wana intelijensia wa kukagua hawa wasomali km ifanyavyo mataifa makubwa basi hapo itakua rahisi.
Kikwete aliombwa kupeleka majeshi ila alikataa.
Sio km Alshabab wagumu bali ni kuhofia usalama wa raia.
Maana wale jamaa wanaweza kujisweka km wakimbizi na kuvuka mipaka na wakimbizi hawakaguliwi.Ni km majambaka ya Burundi yalivyokua yakijipenyeka km wakimbizi JW ilifanikiwa kuwadhibiti lakini hasara ya raia ilipatikana.
Ishu kudhibiti ndani.
Mbna usiseme tuwaweke na jwtz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jomba, sasa mbna wakiingia kenya mnasema eti tumewashindwa..kumbe wajua wanaweza jisweka km wakimbizi na kufanya yao...
Kongole kw kulijua hilo kwanza, halafu ujue ground battle ni ngumu sana..
Hata huyo mmarekani unayemdharau sidhan km ako vibaya hvo..manake ukumbuke wale jamaa hutumia guerilla warfare, so watu km hao ni ngumu sana kuwadhibiti
Mm nilimzungumzia USA ambaye umempa umahiri nikatolea mfano na wababe wenzake Russia na Iran.
Ktk ishu ya alshabaab ni vigumu Tz kujiingiza labda Alshabab wawaanze kwa kuchokonoa mipaka ya Tz kwasababu.
Alshabab wanaweza kuingia kwa kujifanya km raia wakimbizi.
Kwahyo jeshi laweza kuwadhibiti alshabab huko nje kumbe huku ndani wameacha mamba.
Labda waweke wana intelijensia wa kukagua hawa wasomali km ifanyavyo mataifa makubwa basi hapo itakua rahisi.
Kikwete aliombwa kupeleka majeshi ila alikataa.
Sio km Alshabab wagumu bali ni kuhofia usalama wa raia.
Maana wale jamaa wanaweza kujisweka km wakimbizi na kuvuka mipaka na wakimbizi hawakaguliwi.Ni km majambaka ya Burundi yalivyokua yakijipenyeka km wakimbizi JW ilifanikiwa kuwadhibiti lakini hasara ya raia ilipatikana.
Ishu kudhibiti ndani.
 
Yaani unaiona Marekani kuwa kama mungu kwako. Hao USA walipgwa Vietnam bilrvile, so kushindwa kule Somalia sio ajabu. Mnapigwa ninyi na Wamarekani mnaowaabudu. Marekani walikimbia vita vya Somalia baada ya kuona kuwa walifanya makosa kuingia Somali na vile vita havina faida kwao, wakaondoa majeshi yao, Kenya mmeingia kichwa-kichwa, kushinda hamuwezi kuondoka hamwezi.

Waganda wana majeshi yao Somalia, mbona hawapigwi kihivyo kama KDF? KDF ni dhaifu, kimkakati na kimedani, kubalini hilo.

Vv
Marekani si pia alipamban na wavaa makobazi, je alishinda..

Marekani na uwezo wake wote, mpka leo mission zake hazijakua complished..
Jaribuni muingie somalia halafu muone mziki wa wavaa kobadhi..

Tanzania haijawai pigana vita km hivi kabisa...mission za siku mbili tatu ni mission gani hzo, si hta gsu wetu wanafanya tu
 
Uganda wao hawajakomboa hta mtaa kule somalia..au unabisha, KDF iliikomboa kismayu ndio manake wana wasi wasi wakaona wasumbue raia wa kenya kw sana.

Alshabab wanapigna na kenya sana kw sababu tumenyakua miji kadhaa.
Juba land soon itajisimamia soon.
Alshabab lazima waumie

Yaani unaiona Marekani kuwa kama mungu kwako. Hao USA walipgwa Vietnam bilrvile, so kushindwa kule Somalia sio ajabu. Mnapigwa ninyi na Wamarekani mnaowaabudu. Marekani walikimbia vita vya Somalia baada ya kuona kuwa walifanya makosa kuingia Somali na vile vita havina faida kwao, wakaondoa majeshi yao, Kenya mmeingia kichwa-kichwa, kushinda hamuwezi kuondoka hamwezi.

Waganda wana majeshi yao Somalia, mbona hawapigwi kihivyo kama KDF? KDF ni dhaifu, kimkakati na kimedani, kubalini hilo.

Vv
 
Hujajibu swali...
Je kilichoandikwa ni uongo?
Mdogo wangu ngoja nikupe siri ambayo wewe na wakenya wenzio hamuijui nadhani hiyo itafanya uelewe unapoambiwa Marekani ground battle haiwezi..unaikumbuka vita ya Iraq?..ile vita Mmarekani ground battle alikuwa anazidiwa na waarabu na msaada pekee ambao ulifanya Marekani ishinde vita ni makomandoo wa Tanzania ambao waliombwa watoe msaada wa mapambano ya ground battle na siku chache tu Marekani ikashinda vita Iraq nilitaka nisikupe hii siri lakini kwakuwa hutaki kuelewa unavyoambiwa ngoja nikwambie..unapoambiwa Watz wapo vizuri katika medani za kivita acha kukaza misuli ya makalio tulia tu upewe facts sio mnakaa Kibera mnadanganyana ujinga tu..cheki hiyo picha chini utamuona mzaramo mwenzetu akiwa na beji ya Tanzania hapo ni katika moja ya mission za Desert storm ya Iraq
Screenshot_20191030-122338.jpeg
 
Khaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafuta kazi ufanye jf hutoiweza
Mdogo wangu ngoja nikupe siri ambayo wewe na wakenya wenzio hamuijui nadhani hiyo itafanya uelewe unapoambiwa Marekani ground battle haiwezi..unaikumbuka vita ya Iraq?..ile vita Mmarekani ground battle alikuwa anazidiwa na waarabu na msaada pekee ambao ulifanya Marekani ishinde vita ni makomandoo wa Tanzania ambao waliombwa watoe msaada wa mapambano ya ground battle na siku chache tu Marekani ikashinda vita Iraq nilitaka nisikupe hii siri lakini kwakuwa hutaki kuelewa unavyoambiwa ngoja nikwambie..unapoambiwa Watz wapo vizuri katika medani za kivita acha kukaza misuli ya makalio tulia tu upewe facts sio mnakaa Kibera mnadanganyana ujinga tu..cheki hiyo picha chini utamuona mzaramo mwenzetu akiwa na beji ya Tanzania hapo ni katika moja ya mission za Desert storm ya IraqView attachment 1248791
 
Back
Top Bottom