Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

Acha uongo buddah.
Una uhakika tumewashindwa??
Toka wavamie kwa kushtukiza na kukimbia kuna mjeda wetu yupi alifariki ama kuuawa?
Nimekuuliza swali jibu buddah.
Toka JWTZ wawe Congo umesikia AFD wakifanya fujo?
Majeshi wenu huaga wanakufa hko..mbna huaga hampendi kuambiwa ukweli...

AFD tu mmewashindwa, sijui sai mko na mda gani..je mashababi ndio mtawaweza
 
Khaaaa we mbona unanichekesha!!
Waasi wamekimbilia msituni huko hakuna mji wanaoshikilia.
Unaongea habar za kuteka mji ilhali TPDF wamesambazwa kanda nzima?
Kwanza mmeshateka miji mingapi hko congo kw sasa...

Kw mfano km vile kdf...(kismayu, koulibayo) nk
 
Heheeee!!waasi duniani kote huaga wana mahala ambapo wanapa control.....sasa nionyeshe tangu waingie congo walifanya kitu gani successful...

Khaaaa we mbona unanichekesha!!
Waasi wamekimbilia msituni huko hakuna mji wanaoshikilia.
Unaongea habar za kuteka mji ilhali TPDF wamesambazwa kanda nzima?
 
Kwa hii bro mm nitaisifia sana rambirambi mliotoa ya 150 millions tshs kwa wahanga wa kivuko.
Lakn hii ya KDF ni km kumpa mtu shuka aliyejifunika.
Maana TIF walifika wa kwanza kuliko yeyote na kuanza kutoa Msaada wa mwanzo wengine km walijazilia tu.
Code:
Sisi tutawasaidia tu..mpende mkatae..nynyi mkitaka bakini na unafiki wenu na chuki dhidi yetu

Kenya Defence Forces (KDF) have entered Tanzania to help those affected by an earthquake that had caused massive damage
- Tanzania was the epicenter of an earthquake that claimed lives more than a dozen people
- KDF soldiers delivered iron sheets, blankets and mattresses to those affected by the quake
Kenya Defence Forces (KDF) on Saturday, September 17, entered Tanzania on a humanitarian mission after a major earthquake affected the country.
Kenya Defence Forces (KDF) have entered Tanzania to help those affected by an earthquake that had caused massive damage.
View attachment 1251197
 
Fujo kivipi na wakati bado wapo...
Kama hicho kikundi cha wahuni kina wachukua mda kuwasambaratisha hko msituni..
Je alshabab mtawaweza?
Acha uongo buddah.
Una uhakika tumewashindwa??
Toka wavamie kwa kushtukiza na kukimbia kuna mjeda wetu yupi alifariki ama kuuawa?
Nimekuuliza swali jibu buddah.
Toka JWTZ wawe Congo umesikia AFD wakifanya fujo?
 
Jwtz walikua wapi
Kwa hii bro mm nitaisifia sana rambirambi mliotoa ya 150 millions tshs kwa wahanga wa kivuko.
Lakn hii ya KDF ni km kumpa mtu shuka aliyejifunika.
Maana TIF walifika wa kwanza kuliko yeyote na kuanza kutoa Msaada wa mwanzo wengine km walijazilia tu.
 
HAKUNA SEHEM AFD WAMEITEKA PALE CONGO.
USIKARIRI MAISHA.
SIO KILA WAASI LAZIMA wateke miji wengine huishia misituni.
Mfano Bokoharam na Al-Qaeda hawa huishia misituni na jangwani.
Heheeee!!waasi duniani kote huaga wana mahala ambapo wanapa control.....sasa nionyeshe tangu waingie congo walifanya kitu gani successful...
 
Ishu je wanafanya fujo hawafanyi??
Maana mission ilitotupeleka ni kulinda amani ya raia wa Congo.
Na toka wafike wajeda wetu hakuna vurugu zilizotokea kwa raia inamaana kaz inafanyika na wanadhibitika wasilete madhara.
Ila ninyi juzi kat tu Alshabab waliripua hotel Somalia huko asa sijui mpo km mashati tu!!
Fujo kivipi na wakati bado wapo...
Kama hicho kikundi cha wahuni kina wachukua mda kuwasambaratisha hko msituni..
Je alshabab mtawaweza?
 
Alaaa!!imekua kuwadhiti tena wakombozi...mkimalizana nao urudi...

Juba land soon itajisimamia, endeleeni kubak tu hko congo
Ishu je wanafanya fujo hawafanyi??
Maana mission ilitotupeleka ni kulinda amani ya raia wa Congo.
Na toka wafike wajeda wetu hakuna vurugu zilizotokea kwa raia inamaana kaz inafanyika na wanadhibitika wasilete madhara.
Ila ninyi juzi kat tu Alshabab waliripua hotel Somalia huko asa sijui mpo km mashati tu!!
 
Kdf pia walitoa mabati, blankets...

Jeshi la wananchi walikua wapi?
Tanzania Islamic Foundation ni ya Watanzania na imetoa msaada papo hapo.
Hakuna haja ya swali la kizushi km hilo.
 
Kwan ni miezi mingap tupo Congo??
Na tulichukua miezi mingap kuwafuta m23?
Ni nn maana ya kudhibiti?
Utajilindaje ama utatoaje ulinzi pasi na kudhibiti??
Ah bado kaz mnayo mna miaka huko Somalia mnalega lega tu.
Alaaa!!imekua kuwadhiti tena wakombozi...mkimalizana nao urudi...

Juba land soon itajisimamia, endeleeni kubak tu hko congo
 
Islamic Foundation Tanzania inafanya hayo kabla ya ninyi kufanya inamaana haina haja tena ya hao unaowaulizia.
Hao KDF wako wametoa shuka kwa aliyejifunika buddah.
Kdf pia walitoa mabati, blankets...

Jeshi la wananchi walikua wapi?
 
Heheeee!!muathirika hta akipewa shuka kumi ni sawa...jeshi la wananchi walikua katika mazoezi ya kuvunja matofali...kusema ukweli ndio hutaki...

Mbna mozambique mlijitia waume mkapeleka misaada kwenu mkajitia hamanzao..sifa ni mbaya sana
Islamic Foundation Tanzania inafanya hayo kabla ya ninyi kufanya inamaana haina haja tena ya hao unaowaulizia.
Hao KDF wako wametoa shuka kwa aliyejifunika buddah.
 
Nynyi endeleeni kuwadhibiti, hku sisi tunaendelea kunyakua miji iliyokua inaendeshwa na alshabab
Kwan ni miezi mingap tupo Congo??
Na tulichukua miezi mingap kuwafuta m23?
Ni nn maana ya kudhibiti?
Utajilindaje ama utatoaje ulinzi pasi na kudhibiti??
Ah bado kaz mnayo mna miaka huko Somalia mnalega lega tu.
 
In Kenya, we are in able hands of our Defense Forces. In the worst and in the good.

IMG_20191102_074836.jpg
IMG_20191102_074920.jpg

The Alshabaab have tested the mighty KDF and seen 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Hhhhhhh unajua bro punguza miraa.
Islamic Foundation ni ya Tanzania na ya Watanzania na imewahi kutoa msaada kuliko yeyote Kwahyo hakuna cha kulaumu kwasababu msaada umetolewa na Watanzania wenyewe.
Ingekua ninyi mmewahi kutoa msaada sisi tukachelea ingefaa tulaumiwe.
Heheeee!!muathirika hta akipewa shuka kumi ni sawa...jeshi la wananchi walikua katika mazoezi ya kuvunja matofali...kusema ukweli ndio hutaki...

Mbna mozambique mlijitia waume mkapeleka misaada kwenu mkajitia hamanzao..sifa ni mbaya sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbna hasira

Tetea hoja yako sasa
Nimeshatoa ushahidi wa mapambano ambayo TPDF imepambana ktk nchi nne za Afrika na kushinda yote, pia mafunzo ambayo TPDF imeyatoa na inayatoa kwa majeshi ya nchi nyinginezo za Afrika. Pia ushiriki wa TPDF ktk missions za UN huko Darfur, DRC na Lebanon.

Sasa nitajie KDF imepigana vita ngapi ktk nchi ngapi na imeshinda ngapi? KDF imetoa mafunzo ktk nchi zipi?

Vv
 
Kwani jwtz wameshawai kushinda vita..ama unaongelea zile collabo mlizofanya kupiga vijigaidi...km nynyi mko vizuri kwel mbna mpka sai mpo congo...maluzeni hao vijana haraka iwezekanavyo mtawazwe washindi..

Kw peace keeping missions hata usiguse, kdf walianzaga kitambo..

Back
Top Bottom