Kenya Army VS Tanzania Army

Kenya Army VS Tanzania Army

The fact that you can glorify terrorism knowingly or unknowingly just shows the kind of a person you are,sick and pathetic,gosh! what's wrong with you people! mujahideen you say,do you know what terrorism is in the real world and what it does to people?
You are so pathetic to blame me for your misfortunes,
It was KDF officials bribed 500ksh by Al shabaab to smuggle charcoal all the way to Kismayo,
This is a reason Al Shabaab are now roaming freely controlling 50% of Mandera county, collecting taxes. They also have training camps in kenya, they enter kenya and exit as they wish. Poor Kenyans [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1756077
Screenshot_20210113-083442_Chrome.jpg
 
Gari moja limewashinda kwa siku 10. Je, mtaweza kuokoa troops zenu kwa uwanja wa vita? Ndiyo maana hata Alshabab mmeshindwa kuwadhibiti..
Hata ISIS na Alqaeda bado wako Iraq na Afghanistan. Majeshi yenye ubora wa juu, mengi sana yamepitia nchi hizo. Je, hivyo vikundi, vimeisha?
 
Unajua hawa wakenya mm huwashangaaa sana!!!
Yani ile uvamizi wa AFD waasi wa Congo wanaoungwa mkono na Kagame waliwavamia JWTZ wakiwa wamepumzika na JWTZ walikufa watu km kumi na kitu lakin walifanikiwa kujinusuru na kuwakimbiza hao AFD.
Halafu fikiria JWTZ wameshtushwa(ambush).
Ila hawa KDF waliingia kwa alshabab wakiwa full loaded na wakafa 100+.
Asa utafananishaje JWTZ na hawa waiba mikate westgate???
Wanafaa wakumbuke wale waasi wa m23 ambao kundi hilo asilimia zaidi ya 70 ni wanajeshi waasi wa Congo waliteketezwa na JWTZ .
Angalieni operations za Comoros JWTZ waliwazima wale wanajeshi waliotaka kufanya mapinduz Comoros.
Yani usiwe unapima uwezo wa jeshi kwa vifaa tu vionekanavyo.Watu wana masilaha lethal ones wameyaficha huko.
KDF ninyi bado waduchu maana kwa mission tulizokamilisha JWTZ tuko vema.


These are the world’s most elite military teams. They’re highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.
1. US Navy SEAL
2. British SAS
3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces
4. French Special Forces
5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)
6. Irish army rangers
7. Australian SASR
8. MARSOC
9. Canadian counter terrorist group JTF2
10. Russian Special Forces: Spetsnaz
11. Dutch Special Forces
12. SBS
13. Delta Force
14. Belgian Special Forces Group
15. Norwegion MJK
16. Canadian Joint Incident Response Unit (Nuclear, biological and chemical warfare defence)
17. Marinejegerkommandoen – Norwegian Navy Special Forces
18. French Commando Marine
19. Norwegian Armed Forces’ Special Command
20. New Zealand Special Forces
21. US Army Special Forces Sniper with Remington Modular Sniper Rifle
22. Polish GROM
23. U.S. Special Forces
24. Indonesian Special Forces Command
25. Romanian Special Forces
26. Serbian Gendarmerie
27. Tanzanian Special Forces In Congo
28. German KSK (Army / Special Forces)
29. German Army Special Forces the KSK
30. ROC (Taiwan) Special Forces wi
Hii si ni list ya blog kijana, sio UN wala UA, wametegeza hio list. That's an article like many others! 🤣 🤣 🤣
 
Al-Shabab hawazidi 50 lakini wanawachokonoa wanavyotaka kila siku pm1 na kujisifu kote huko
 
Miaka michache sana iliyopita, Major General Mwakubolwa aliongoza wanajeshi wachache wa TPDF kule DRC kuwatimua M23 na Laurent Nkunda hadi walipohakikisha wanavuka mpaka kuingia Rwanda kwa mfadhili wao. Major Gen. Mwakibolwa, baada ya kutoka DRCmiaka minne iliyopita alipandishwa cheo na kuwa Mnadhimu Mkuu wa TPDF na amestaafu mwaka juzi .

Mwaka 2012/13, TPDF ilienda kuwafurusha walioipindua serikali ya Comoro ndani ya wiki moja. Mwaka 1977, TPDF walivuka bahari ya Hindi hadi Seychelles kumrejesha madarakani Rais Albert Renne aliyekuwa amepunduliwa.

Do you want us say more? TPDF ni habari nyingine, it is well disciplined, very tactical and very experienced army. UPDF imepigana hadi vita vya maguguni huko Mozambique tangu 1976 hadi miaka ya 1990, kumbuka kuwa TPDF walipigana na Idd Amin wa Uganda pia wakati wakiendelea kuwakabili RENAMO kule Msumbiji.

KDF wamepigana wapi? Pale Somalia, hadi leo wanakurupushana na Alshaabab, TPDF ingekuwa imeshamaliza kazi muda mrefu!

Vv
Mwaka 2013 rais piere nkurunzinza alikuja kumtembelea kikwete. Alipofika Tanzania taarifa ikatolewa kuwa kapinduliwa.
Amiri Jeshi mkuu Kikwete wakati huo akatoa press conference. Unajua kilichotokea ilienda convoy ya usalama 200. The rest is history
 
hiyo ni collabo au migambo inafundishwa, huoni kenya drinking force na askari mmoja? unadhani ni nani anafundishwa hapo? MIGAMBO YA KDF INAFUNDISHWA NAMNA YA KULINDA MASILAHI YA WANAUME! wajinga ndiyo waliwao
Mmesahau waume wenyu tena ;Cuba na Urusi? 😂 😂 😂 Ama huwa nyinyi hamu attend exercises? 😂
 
Hivi vijamaa vingekuwa bora vingelindwa na wamarekani, jaribuni muone mtiti sisi sio Al shabab tutapiga mpate sababu ya kuomba ukimbizi ulaya
 
Hivi vijamaa vingekuwa bora vingelindwa na wamarekani, jaribuni muone mtiti sisi sio Al shabab tutapiga mpate sababu ya kuomba ukimbizi ulaya
Unajua Kenya Hakuna Inchi imewai jitolea kuweka live war nayo,Wanakuanga tu na Propaganda and throwing Tuntrums Just like Somalia we started preparing for war,Wao kuona hivo wakaita mabeberu wazuie wasifyekwe🔥🔥Sasa Nyinyi TZ mnadhani mtatuweza🇰🇪😎
 
Unajua Kenya Hakuna Inchi imewai jitolea kuweka live war nayo,Wanakuanga tu na Propaganda and throwing Tuntrums Just like Somalia we started preparing for war,Wao kuona hivo wakaita mabeberu wazuie wasifyekwe[emoji91][emoji91]Sasa Nyinyi TZ mnadhani mtatuweza[emoji1139][emoji41]
Kenya haina resources za maana kama Tanzania.hamna ardhi kubwa yenye rutuba,hamna ardhi ambayo kila sehemu kuna madini. Kwa hiyo watu hawana sababu ya kuwavamia.
 
Unajua Kenya Hakuna Inchi imewai jitolea kuweka live war nayo,Wanakuanga tu na Propaganda and throwing Tuntrums Just like Somalia we started preparing for war,Wao kuona hivo wakaita mabeberu wazuie wasifyekwe[emoji91][emoji91]Sasa Nyinyi TZ mnadhani mtatuweza[emoji1139][emoji41]
Bro tukiamua Tu asubuhi tunakunywa chai ikulu ya Kenya alafu tunawawekea Rais.uliza Vizuri kuhusu Tanzania .we are humble but strong.
 
KDF kiboko isay. Wanaweza kuiteka Somalia kwa siku mbili tu. Sio kama Tanzania, awana chochote sio kama KDF.
 
Back
Top Bottom