BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya.
Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi usiku, yaani vituo vya Radioa wana mada za mpira asubuhi hadi usiku,Hawana habari zingine labda miziki.
Ni ngumu kukuta mada seriou kuhusu nchi, mada za siasa mada za Democrasia na jinsi uhuni unafanyika, hizi mada huwezi zisikia kamwe.
Mada ni Yanga na Simba kutwa nzima.
Sisi ni wajinga mno.
Si bure vyombo vya habari vya nje kama BBC, CNN, WD, VOA wanachukua sana watangazaji Kenya na sio Tanzania tena ambako watangazaji hawajui kingine zaidi ya Yanga na Simba.