KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

Na Amani ni nini?
IKIWA UPANGA NI NENO LA MUNGU
Hujui hata maana ya Amani [emoji15] hii [emoji117] kwa kisilamu ndio Amani [emoji15] [emoji4] swali..[emoji101]
 
Sishangai makanisa yanavyochipuka kama uyoga na watu kujiita maaskofu kila kukicha,haya lazima tuyategemee
 
neno ukristo limetokana na jina la yesu kuitwa kristo na wakristo walipewa jina hilo kule antokyaa miaka mingi baada ya yesu kuondoka hapa dunian
Neno WA-KRISTO Muanzilishi ni Yesu Mwenyewe ref; Marko 9:10
 
neno ukristo limetokana na jina la yesu kuitwa kristo na wakristo walipewa jina hilo kule antokyaa miaka mingi baada ya yesu kuondoka hapa dunian
Sawa kabisa,kwahiyo kiujumla ukristo ni nini sasa?
 
Hujui hata maana ya Amani [emoji15] hii [emoji117] kwa kisilamu ndio Amani [emoji15] [emoji4] swali..[emoji101]
Ndo maana wayahudi wakamuua.
Watu wana hubiri Amani yeye anasema amekuja na upanga

NGOJA NIKUULIZE SWALI. WAKRISTO MNAAMINI MKIFA MNAKWENDA MWINGUNI.
HUKO MBINGUNI KWENU HAKUTA KUWA NA WANAWAKE?
 
Kufa Kiroho au Kimwili...? Usiulize maswali nusu nusu dogo[emoji47]
 
Sawa kabisa,kwahiyo kiujumla ukristo ni nini sasa?
Ni Imani kwamba!; Mungu Kajidhihirisha ktk Umbile Bora la kibinadamu hapa duniani Kudhihirisha Mapenzi yake [emoji106]
 
Amechanganyikiwa huyo.
 
Ni Imani kwamba!; Mungu Kajidhihirisha ktk Umbile Bora la kibinadamu hapa duniani Kudhihirisha Mapenzi yake [emoji106]
Sasa kwanini watu wameitwa wakristo? wakristo ni nani?
 
KILA SIKU NAKWAMBIA WEWE UKRISTO HUUJUI.
ETI WAKRISTO HAWAFI. Yesu alikuwa muislam?

Nimekukaanga kwa mafuta yako [emoji4] hata maana ya kufa hujui [emoji15] Yesu alisema Acheni wafu wakazike wafu wenzao alikuwa anakusudia nini? Alisema tena muogopeni Yule auaye Roho na mwili...Amefundisha nini hapo?
 
Unaulizwa vingine unajibu vingine.
Umesema wakristo hawafi. Nimekuuliza yesu alikufa au hajafa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…