KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

JESUS IS OUR SEVIOR.....anaemkataa..ile paap umekufa...kwenye kona uyu apa...af madem ulioahidiwa huwakuti...hapo ndipo utakapo toa tofautii kati ya sifuri na OO
 

Soma Aya ya 3. MUNGU WA pekee, ni Nani. Na yesu aliyetumwa ni Nani?

Jibu swali Mungu kuwa ktk Hali ya Uungu na Ubinadamu kwa wakati mmoja HAWEZI? Ukijibu hapo tutahitimisha mjadala na kujua nani [emoji117] ...
 
Duh, sikuwahi kuwaza km kiongoz mkubwa wa kidini anaweza kuhama dini yake km kuhama chama Cha siasa.
 
Jibu swali jee Mungu kuwa ktk Hali ya ubinadamu Kamili na Uungu Kamili HAWEZI?? jibu ili upate wepesi wa pepo au jehannam..[emoji101] [emoji101]

Soma aya ya 1. Unataka kusema MUNGU na yesu. Ni mmoja?
UNAJUA MATUMIZI YA UMOJA NA WINGI?
 
Ukisikia utapeli ndio huo,kama ni Mungu abaki kuwa Mungu,sio kufanya utapeli,mara Mungu,mara kawa mtu.

Jibu swali innsui wee [emoji12] kama tapeli huyu hapa [emoji117] amewahalalishia mpaka mvutu wa mee [emoji117] [emoji12]
 

MUNGU ANATUMWA. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tatizo lako qurani huamini wala Biblia Takatifu huiamini [emoji117] [emoji118] unaamini? [emoji117] [emoji118] unaamini? [emoji117] mna shida sana maisilamu dirisha dogo [emoji117] [emoji12]
 
[emoji2][emoji2][emoji2] umekula kwanza au una post post tu ujinga
 
[emoji2][emoji2][emoji2] umekula kwanza au una post post tu ujinga
Serikali za eneo hili zipambane kupunguza ujinga na umasikini ktk jamii za ndugu zetu Waislamu tupunguze mijadala ya kijuha kama huu!
 
Jibu swali innsui wee [emoji12] kama tapeli huyu hapa [emoji117] amewahalalishia mpaka mvutu wa mee [emoji117] [emoji12]
Ndio maana mnaabudu picha ya mcheza sinema,mkifikiria ndio Yesu.Na ameshawaambia msiabudu picha zake,yeye sio Yesu.Wewe ukiona picha wajuwa ndio uhalisia wenyewe.Pole sana,muabudu picha ya mcheza filamu.
 
Ndouzuri wa kuchimba kotekote,wewe unajua uyo Mtume wenu wakati anakaribia kufa Mwenyezi Mungu akamfunulia na akaona anakoenda kukoje alisema nini kabula ya kukata roho? Km ujui ludi ukasome vizr dini yako na ujiulize ni kwa nini mpaka sasa mkiwa msikitini lazima mumuombee mtume wenu.Na baada ya hapo jiulize km unaakili timamu ikiwa ww unamuombea mtume wako ili Mungu amuleemu je na wewe itakuaje? Njooni kwa Yesu mwanaume aliyeumbwa pasipo dhambi akateswa kwa ajili ya wanadamu akafa akazikwa na sku ya tatu akafufuka,akapaa mbinguni na amekaa kuume kwa Mungu Baba mwenyezi na toka uko atakuja kuwaukumu wazima na wafu.Sasa badala mumfate MTU aliyekufa na kufufuka na kitabu chenu kinawaeleza ivo lakini bado mnamfata MTU aliyekufa na mpaka sasa anasubili ukumu na ndomaana bado mnamuombea.Think bigger kijana.
 
Kijana inaitaji elimu ili uweze kuyaelewa ayomaandishi lasivyo utaishia kucopy na kipest sio magazeti ya ijumaa ayo.
 
 
Kitu kinachowashinda wakristo,ni kutofahamu kama waislamu hawamuabudu Mtume Muhammad,mtume Muhammad katika uislamu,ni mfikishaji tu,ya kile alichotumwa na Mungu,kukifikisha kwetu wanadamu,na ndio hivyo kwa mitume mingine kama Yesu,Musa,Ibrahim,Ishaka,Yaakubu,Yohana nk,hawa wote pamoja na huyo Yesu unayamuamini wewe tunawaombea rehema na amani,mbele za Mungu,wakati wakitajwa majina yao.Kwa hiyo kwanza ujuwe:
1:Waislamu hawamuabudu Mtume Muhammad,wanamuabudu Mungu(hakuna haja ya kutwajwa Mungu Wa kweli ,wala Mungu wa haki,kwasababu anazo sifa hizo,bila kuwa na umuhimu wa kuzitaja).
2.Yesu,pamoja na mitume mingine tunawaombea rehema na amani.
Kwa hiyo uelewe,hata Yesu,katika uislamu anaombewa rehema na amani,kwasababu yeye pia ni mtume ndani ya uislamu.
 
Ndio maana mnaabudu picha ya mcheza sinema,mkifikiria ndio Yesu.Na ameshawaambia msiabudu picha zake,yeye sio Yesu.Wewe ukiona picha wajuwa ndio uhalisia wenyewe.Pole sana,muabudu picha ya mcheza filamu.
Akili yako ktk Tafakari hapo ndipo ilipo fikia [emoji15] [emoji12] sio kosa lako ilaha kungwi yako aliye kufunda somo la kumjua MMungu Hana SIFA WALA UJUZI WA hilo somo [emoji4] umebakia unamwaga pumba hata fedheha huna [emoji33] [emoji33]
 
Akili yako ktk Tafakari hapo ndipo ilipo fikia [emoji15] [emoji12] sio kosa lako ilaha kungwi yako aliye kufunda somo la kumjua MMungu Hana SIFA WALA UJUZI WA hilo somo [emoji4] umebakia unamwaga pumba hata fedheha huna [emoji33] [emoji33]
Endelea kuabudu picha ya mcheza sinema,mpaka mwenyewe kasema yeye siye Yesu.Bado picha mwaziabudu.Mtu Mwenye akili kama yako ya kuabudu picha, ya mcheza sinema,uwekwe kwenye fungu gani, kama sio ugonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…