KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

Mkristo anaye mwacha Yesu Kristo na kwenda nje.
Huyo hakuwahi kumwelewa Kristo wala hakuwahi kuwa
Mkristo bali alikuwa Mkristo jina.
Kubadili imani ni siyo kosa la jinai mtu ana uhuru wa kuamini na kufuata imani yoyote ile.
Ila kwa wale wanayoifuata imani inayotokana na Kulitii Neno la Kristo Yesu kamwe hawawezi kuiacha imani hiyo takatifu.
Kwakuwa Roho Mtakatifu anawasaidia kuwaimarisha kiimani kila siku.
Bila kuwa na Roho Mtakatifu ambaye ndiye Msaidizi wetu wa Imani huwezi kumwelewa Yesu Kristo.
Mwisho wake unaamua kutangatanga kiimani, mara leo ni Mbudha, kesho unahamia kuwa Mbahaullah, keshokutwa Mrastafariani, mtondogoo Mhindu mwisho wa siku unaingia Freemasonry.
 
Nguo fupi za wanawake,wakiwa kanisani!! Yaani hiki ndio kilichomkera akahamia upande wa pili!!
Kuna sababu zingine za kimafundisho au ni hii moja?,
Yaani kwa upande wangu,uende Buddha,uhindu,yote ni yaleyale,
Wengi hizi kwenye hizi imani,tumejikuta,kwa sababu wazazi wetu tuliwakuta humo,nasi tunaamini imani ya wazazi wetu,
Imani hizi,zilikuwepo miaka mingi kabla ya uwepo wetu,no proof kwamba hipi ni sahihi
 
Mungu hutoa Uhuru wa maamuzi ila tuwe tayari pia kupokea matunda ya uchaguzi wetu!
 
Okwany mwenye umri wa miaka 65 alisilimu tarehe 26 Septemba akiwa na wafuasi wengine 23 wa kanisa lake na sasa wako mbioni kusajili rasmi msikiti wao.

Kichwa cha habari ni kuwa; Askofu asilim na wafuasi wake!
Unasema ana umri wa miaka 65 halafu ni kanisa la East Africa. Kwa miaka 65 kanisa aliloongoza EA nzima likawa na waumini 23 tu huku akizunguka pwani zoote za EA.
Naunga mkono wazo lake la kusilimi. Hiyo ni dini isoongezeka kwani iliingia EA kabla ya ukristo lakini bado wameishia hapo hapo Pwani na himaya yao imeshapekechwa na Christianity kiasi kwamba hawana walipo imara tena.
Hao ndo wala nguruwe wa kwanza kuliko hata wafuga nguruwe
 
Reactions: PNC
Karibu sana utekeleze maagizo ya allah [emoji117] ili ufuzu ukazawadiwe mahulu 72 wenye makalio ft.40 ujiuji kiuno kama nyigu, macho kama vikombe...yalah [emoji8] [emoji39]
Ujue kapata jini mahaba huyo.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…