KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

Hivi mnajua maana ya Askofu ninyi? kwanza askofu ana kanisa? yaani wahuni wanaojitngazia wenyewe bila ya kusomea, kuwekewa mafuta matakatifu kuwa maaskofu , wanaojijengea vibanda vyao na kuviita makanisa ndio mnaleta habari zao hapa? kweli wanaojiita waprotestant wamelichafua sana kanisa. Wanaiga kuanzia mavazi (ila ukiyaangalia mavazi yao utayajua tuu maana yameshonwa hovyo hovyo na hayafuati dressing code ya kanisa) , wanajijengea majumba mifano ya kanisa, wanajaribu kuigana kuimba nyimbo za kikristo ila (utayajua kwa maaana wanatumia magitaa kama watu wa kuchezesha madisko) wao bado wameambatana na mambo ya kidunia kama kuoa na kumiliki mali binafsi. Ndio hao inabidi watafute jina jingine wasijiiite wa kristo
 
Safi Sana mazee, Takbīr ( ﺗَﻜْﺒِﻴﺮ)[emoji123] [emoji115] [emoji122]
 
Hakuna cha ajabu. Huyo jamaa si ajabu alijiita Askofu na member wake ndio hao hao 23. Pili njaa kali imemuibua. katika kenya Homa bay ni moja ya sehemu zenye shida sana ya kiuchumi so labda njaa inamsumbua. Huku tulipo watu wanahongwa wanawake wa kiislamu, kufunguliwa biashara nk ili wasilimu. Hakuna shida dini siku hizi ni kama game ukitaka wanawake wengi nenda uislamu mpaka 4 utapata, ukitaka kuwa free kunya viroba na Konyagi nenda Vatican kwa wakina roma.

Tofauti kubwa hapa ni nani anayetajwa kwenye dini yao. sote tumeumbwa na Mungu na ni mali ya Mungu. Hawa wanamtaja Maria na hawa wana mtaja Mohamed na sisi tunaliitia Jina la Yesu Mwana wa Mungu aliye Hai, Mwanaume alikufa, akaitwaa Roho yake Siku ya Tatu akafufuka. this is big diffrent (gap) Kati wanaokwenda mbinguni na waliopotea Sisi tunaye mwabudu yupo hai waulize wakwao wapo wapi.
 
understand first or learn about Islam before utoe uharo
 
Karibu sana utekeleze maagizo ya allah [emoji117] ili ufuzu ukazawadiwe mahulu 72 wenye makalio ft.40 ujiuji kiuno kama nyigu, macho kama vikombe...yalah [emoji8] [emoji39]

Dah! Hivi haya maandiko yapo kwenye koran ama mnasingizia, maana kama kweli basi nijibu tosha kwa nini hawa watu hujilipua,siku zote nilikua najiuliza kiini cha huko kujilipua lipua.
 
Umenena mkuu...,barikiwa
 
understand first or learn about Islam before utoe uharo
Mimi sijautaja Uislamu wala Uharo, naona unaingiza mawazo yako kwenye hoja nukukuu yangu.
Sikujua kuwa una Ugonjwa wa Kuhara
Maumu yakizidi mwone Daktari.
 
Mpinga kristo ni yule asiyeamini kuwa yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yake

Je wewe ni mpinga kristo?
 

Former Bishop of God's Call Church of East Africa Charles Okwany

.
 
Dah! Hivi haya maandiko yapo kwenye koran ama mnasingizia, maana kama kweli basi nijibu tosha kwa nini hawa watu hujilipua,siku zote nilikua najiuliza kiini cha huko kujilipua lipua.
Anaebishia aje [emoji4]
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…