avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hivi mnajua maana ya Askofu ninyi? kwanza askofu ana kanisa? yaani wahuni wanaojitngazia wenyewe bila ya kusomea, kuwekewa mafuta matakatifu kuwa maaskofu , wanaojijengea vibanda vyao na kuviita makanisa ndio mnaleta habari zao hapa? kweli wanaojiita waprotestant wamelichafua sana kanisa. Wanaiga kuanzia mavazi (ila ukiyaangalia mavazi yao utayajua tuu maana yameshonwa hovyo hovyo na hayafuati dressing code ya kanisa) , wanajijengea majumba mifano ya kanisa, wanajaribu kuigana kuimba nyimbo za kikristo ila (utayajua kwa maaana wanatumia magitaa kama watu wa kuchezesha madisko) wao bado wameambatana na mambo ya kidunia kama kuoa na kumiliki mali binafsi. Ndio hao inabidi watafute jina jingine wasijiiite wa kristo