KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

tumia akili yako vizuri [emoji15] Yesu Angewaamuru Wafuasi wake wawageuze kibla makafir kungekuwa hakuna kafir hata mmoja juu ya ardhi hii wangekuwa Hai kuleta bla bla...[emoji15] [emoji4] ukitaka ujue vita aliyo leta Yesu [emoji117]
2af6660d4389c83fb3a922c9af58d0a7.jpg
Vita hii [emoji117] leo hii kamwambie muongo aache uongo, mngese aache ungese, muongo mwizi...waache kitakacho kupata ulete mrejesho humu [emoji4] wewe kama nilivyo Jina lako humu...mjinga...malizia [emoji12]
antibalaka???
 
Hii style ya kubong'oka mbele ya mwanaume mwenzio rijali haipromote ushoga kweli?
style hiyo hiyo ndiyo waliyotumia manabii kuabudu..."Musa akafanya karaka,kisha akaanguka kifudifudi hata nchi AKASUJUDU"...Muhammad alioa wake zaid ya mmoja,yesu hakuoa hat mke mmoja.waislam wanaoa mke zaid ya mmoja lkn wakristo huoa mmoja na viongoz wao hawaoi kabsa..sasa utaona mwenyw ni kina nan wanaelekea kuwa mashoga..
 
Mkuu neno mkristo/wakristo limetokana neno ukristo kwahiyo ukisema mungu hakuanzisha ukristo na wala Yesu hakuubiri ukristo basi pia nawe sio sahihi kujiita mkristo.
neno ukristo limetokana na jina la yesu kuitwa kristo na wakristo walipewa jina hilo kule antokyaa miaka mingi baada ya yesu kuondoka hapa dunian
 
Mwenyezi mungu amemuonyesha njia kabla umauti, inshaallah amuongoze kwayo yeye na ah'ali zake. Dini ni nyingi duniani, si kosa kujifunza zote ili uzijue dini za wanadam na dini ya mungu
Sadakta,umesema kweli kabisa.
 
Nilivoona askofu na waumini wamesilimu nikajua tu sio makanisa hale ya kitasisi
Ni ngumu RC au KKKT askofu asilimu na parokia/usharika wake.
Ila kwa ministry ni rahisi sana maana askofu unakuta ana kanisa moja tu na labda waumini 500.

But vizuri kwao kuchagua walichoona chema kwao na vizazi vyao
Hao ministry sijui wizara wao sio wakristo?
 
Mkuu, uislam ni dini inayonezwa kwa neno, si rushwa, hila wala ulaghai. Hivyo pia, kuwa na watu wengi siyo sababu ya kuukwepa moto wa mungu. wingi ungekuwa na tijja mbele ya mungu asingewaangamiza watu wa nabii NUHU ambao wachache waliamini na wengi walimkataa.
Wengi huitwa bali wachache huchaguliwa
 
Ila Hawa waislamu wanajitahidi ,ukiwatizama wanaonekana kweli wanakijua wanachofanya.ila sie wakristu ni kama dini yetu inamashaka hivi.kila kukicha wanaibuka manabii na watumishi wanaopingana.huwa nakasirika kuona mwanamke kaposti picha yake kavaa sket fupi na maziwa nje alafu anaandika yesu kanifanya ning'are.
Mie ni muislam ila huwa wakristo wananikwaza hasa wasanii wa nyimbo mnazoita za kidunia esp. Hip Hop anaimba huku kashika private party huku amevaa cheni zenye msalaba stejini
 
Masharti ya kuzipata ndio Hayo ona anavyo wajibika [emoji117]
92a5198669e7085a131a12652ea64ca5.jpg
[emoji38]
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]so it means na mbingun tunaenda kuishi life kama la duniani? Afu sheria si mwisho wake 4 asa hao 72 wanatoka wap tena[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Back
Top Bottom