Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hapa hatupo kwenye mambo ya Kujaa, bali kubadilishana Elimu ya Imani.[emoji1][emoji1][emoji1]. Umejaaa.haya niambie Kama yesu alijitoa uhai. KWANINI ALIMLILIA MUNGU. KWAMBA KAMUACHA?![]()
SOMA AYA YA 46.
Hilo swali lako nimeulizwa na Kikwajuni One.
Soma nilivyomjibu hapo katika majibu yangu ya awali.
Angalia hapo juu nimemjibu vizuri Kikwajuni One.
Hamna sababu ya kurudia majibu.