figganigga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 25,724 Reaction score 55,906 Dec 28, 2017 #1 Mwanaume mmoja huko katika Kaunti ya Kiambu amewaua watoto wake wadogo wawili kwa kuwachomachoma na kisu, sababu bado haijafahamika. Alipomaliza kuwaua alikunywa sumu lakini hakufa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Mwanaume mmoja huko katika Kaunti ya Kiambu amewaua watoto wake wadogo wawili kwa kuwachomachoma na kisu, sababu bado haijafahamika. Alipomaliza kuwaua alikunywa sumu lakini hakufa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,313 Reaction score 7,714 Dec 28, 2017 #2 Kumbe sumu kuna muda inakuwa haiuwi?mungu ni mkubwa!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Dec 28, 2017 #3 Kanikumbusha kesi ya Liundi
Meja mstaafu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 531 Reaction score 1,121 Dec 28, 2017 #4 Huyo naye mjinga sana. Angejichoma choma visu na yeye.