figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mwanaume mmoja huko katika Kaunti ya Kiambu amewaua watoto wake wadogo wawili kwa kuwachomachoma na kisu, sababu bado haijafahamika. Alipomaliza kuwaua alikunywa sumu lakini hakufa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi.