Kenya: Aua wanae wawili, anywa sumu afe lakini hakufa

Kenya: Aua wanae wawili, anywa sumu afe lakini hakufa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mwanaume mmoja huko katika Kaunti ya Kiambu amewaua watoto wake wadogo wawili kwa kuwachomachoma na kisu, sababu bado haijafahamika. Alipomaliza kuwaua alikunywa sumu lakini hakufa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
 
Kumbe sumu kuna muda inakuwa haiuwi?mungu ni mkubwa!
 
Back
Top Bottom