mwita daniel
Member
- Sep 18, 2015
- 37
- 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata kitu hapa.Hongeren Kenya.Kenya wako na Independent candidate ambao Tz hakuna licha ya marehemu Mch Mtikila kushinda kesi mahakamani. - -- Kenya wana Tume huru ya Uchaguzi, uundwaji wa tume upo huru. Haichaguliwi na Rais.
Matokeo ya chaguzi zote hutangazwa kituo cha kupiga kura. Tume hufanya majumuisho tu, pia vyombo vya habari vinaruhusiwa kufanya majumuisho.
Matokeo ya Uraisi na mengine yote yanahojiwa mahakamani.
Kenya ina mahakama iliyo huru kwasababu ya mchakato wa kuunda mahakama upo huru.
Wakuu wa mikoa {governers), na wilaya huchaguliwa na wananchi.
Kenya kuna mabunge mawili kama zilivyo nchi nyingi zenye ustawi.
Wabunge wanafanya kazi zao za kibunge za kusimamia serikali, hawaingizwi serikalini yaani kufanywa mawaziri.
Serikali kwa maana ya mawaziri hawatokani na wabunge na waziri akiteuliwa ni lazima apate confirmation ya bunge.
Raisi hana madaraka ya kifalme.
Wabunge wa viti maalum vya wananawake huchaguliwa na wananchi.
Na mambo mengi, hayo ni machache tu ya kujifunza.
Ndo katiba yetu waliyoizika LumumbaKenya wako na Independent candidate ambao Tz hakuna licha ya marehemu Mch Mtikila kushinda kesi mahakamani. - -- Kenya wana Tume huru ya Uchaguzi, uundwaji wa tume upo huru. Haichaguliwi na Rais.
Matokeo ya chaguzi zote hutangazwa kituo cha kupiga kura. Tume hufanya majumuisho tu, pia vyombo vya habari vinaruhusiwa kufanya majumuisho.
Matokeo ya Uraisi na mengine yote yanahojiwa mahakamani.
Kenya ina mahakama iliyo huru kwasababu ya mchakato wa kuunda mahakama upo huru.
Wakuu wa mikoa {governers), na wilaya huchaguliwa na wananchi.
Kenya kuna mabunge mawili kama zilivyo nchi nyingi zenye ustawi.
Wabunge wanafanya kazi zao za kibunge za kusimamia serikali, hawaingizwi serikalini yaani kufanywa mawaziri.
Serikali kwa maana ya mawaziri hawatokani na wabunge na waziri akiteuliwa ni lazima apate confirmation ya bunge.
Raisi hana madaraka ya kifalme.
Wabunge wa viti maalum vya wananawake huchaguliwa na wananchi.
Na mambo mengi, hayo ni machache tu ya kujifunza.
Lazima iwe hivyo vinginevyo wakumbane na mkono wa The Hague!Nimefuatilia siasa za Kenya toka wameanza kampeni za kupata viongozi katika 2017, kwa hakika hawa jamaa ukiondoa kitendo kimoja kibaya cha kuuawa kwa mfanyakazi wa tume ya uchaguzi nimewakubali wakenya.Hawa jamaa wanashindana kwa hoja. na mtazamaji ukiwasikiliza wagombea unawatofautisha bila shida yoyote. Kwamba unajua yupi anatete na yupi anataka kuingia.
Hapa kwetu huwa lazima ufanye kazi ya ziada ili ujue yupi anatetea na yupi anataka kuingia, na hii inachagizwa na kila mmoja kusema "nita". Katika kampeni za Kenya Uhuru anasema "nime" na hata wale wa ngazi za chini waliokuwepo madarakani wanasema "nime" wanaotaka madaraka wanasema "nita". Kitu kingine sijaona upande fulani kutumia dola kuhujumu upande mwingine na hata kulipo tokea rabsha za kuzomeana kwa kulipa kisasi walipogundua shida inayo wanyemelea viongozi wote walilizima hilo, jambo ambalo ni tofauti na nchi nyingine za Africa pale ambapo aliyekuwepo madarakani akiona anazidiwa hutumia dola kuhujumu upande shindani. Hii ni sawa na pale watu wawili wanapigana ngumi mmoja akiona anazidiwa anakimbilia kuchukua panga kwa matumizi dhidi ya mgomvi wake.
Siku Kenya wakiondoa jinamizi la ukabila wataziacha mbali nchi nyingi za Afrika kisiasa lakini pia kiuchumi.Uhuru ni mwanasiasa wa kweli pamoja na ushindani mkubwa kutoka kwa Raila huoni dhahiri kutumia dola na unamuona anaminyana kweli kweli arudi ofisini ingawa Raila amekomaa naye anataka kuingia ofisini.
Kenya wakirekebisha hizo kasoro kiduchu hatuwakuti, nawaombea wamalize kampeni kesho kutwa na wachaguane salama na waendelee na maisha. matokeo yasiwagombanishe na kwa mwelekeo kura zikipigwa, hesabiwa na kutangazwa washindi katika hali uhuru na haki wakenya watatoka wakiwa imara sana safari hii.TUWAOMBEEE
Mh! Kweli inavyoenda kwa majirani zetu, nahofia watacharangana mapanga kupita kiasi katika kugombea kutinga Ikulu. Mauaji yaliyotokea hivi karibuni si dalili nzuri hata kidogo.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]Democracy ni njia moja wapo iliyoletwa na wazungu ili waweze kutawala nchi za Africa. Kwa huu ujanja unaofanywa na Jubilee na IEBC hakuna kitu hapo. Kenya hadi chokoraa wa miaka 12 atapiga kura.
Sisi kama CCM tutatawala milele kama chama cha China. Chupa ilele ila mvinyo tofauti. Kwa hiyo kuweni wapole kwani ndokwanza tunavuta shuka.View attachment 557664View attachment 557665 View attachment 557666View attachment 557667