Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kenya wanafuatilia sana chaguzi za Tanzania kuliko watanzania wanavyofuatilia chaguzi za Kenya. Nimekaa Kenya kipindi 2015.
Hata wewe mwenyewe haumini ulichokiandika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wanafuatilia sana chaguzi za Tanzania kuliko watanzania wanavyofuatilia chaguzi za Kenya. Nimekaa Kenya kipindi 2015.
Acha uongo umejuaje yaani tuseme ww wakenya umewaweka kiganjani mwako?.Hakuna Mkenya anayejadili Uchaguzi wa Tanzania achilia mbali hata kujua majina ya Viongozi wa Tanzania ukiondoa Magufuli kwa nini wewe uko obsessed na Uchaguzi wao? Nchi nzima ya Tanzania imeganda kwenye TV tena za Kenya kufwatilia Uchaguzi wa Kenya hauoni kwamba tatizo liko zaidi kwako labda kuliko kwa Wakenya?
Hakuna Mkenya anayeweza kuangalia TV ya Tanzania akiwa Kenya achilia mbali hata kujua tu Jina la TV za TZ lkn Tanzania ni kawaida kuangalia TV za Kenya, sasa nani ana safari ndefu kuliko mwingine?
Acha uongo umejuaje yaani tuseme ww wakenya umewaweka kiganjani mwako?.
Kwa kweli Magufuri hakuwa mtu mzuri angetawala zaidi ya pale na sisi Tanzania matabaka mengi yangezaliwa mfano ukabila,ukanda,ubinafsi,uchoyo,udini,uchama,na hata usalama ulikuwa hati hati.Na Magufuli alikuwa anaipeleka nchi kwenye ukabila na amewachonganisha wasukuma na makabila mengine nchini mpk wakaanza kudhani wasukuma Ni watu wa hovyo hovyo.
Wasukuma ni watu poa sana tena sana na hawana shida na mtu, tabia za ajabu ajabu alikuwa nazo yule bwana wa Chato tu.
Aisee tuna safari ndefu sanaSafari yetu ndefu ni hii hapa🐒🐒🐒
View attachment 2321714
Pascal Mayalla alianza kupandikiza mambo ya namna hii humu, kuna uzi wake mmoja ulikuwa na element za ukabila, akiwapalilia watu kutoka kanda yake sikuupenda abadani.Mosi, Mkikuyu hawezi kumpigia kura mtu ambaye sio Mkikuyu Mwenzake, Ikitokea hakuna Mkikuyu anayegombea basi hata siku moja haitakuja tokea Mkikuyu kumpigia kura Mjaluo, Kwa Kenya ni mwiko Mkikuyu hata akikosa Mkikuyu Mwenzake kuchagua Mjaluo
Kuna ugomvi mkubwa kati ya wakikuyu na wajaluo, Wakikuyu ni kabila la kwanza kwa ukubwa Kenya na wajaluo ni kabila la nne kwa ukubwa Kenya, Wajaluo wanaamini wakikuyu wamehodhi njia zote za uchumi Nchini Kenya na kuyafanya maeneo ya wajaluo kuwa maskini sana hasa baadhi ya maeneo ya katikati ya
Ukifuatilia cheti chake Kuna kitu hakiko sawaHiyo uliyonayo ni mimba sugu
Kweli kabisaaa,Magufuli ndio walikua wanamfatilia.hata tv zetu hawaangalii.Hakuna Mkenya anayejadili Uchaguzi wa Tanzania achilia mbali hata kujua majina ya Viongozi wa Tanzania ukiondoa Magufuli kwa nini wewe uko obsessed na Uchaguzi wao? Nchi nzima ya Tanzania imeganda kwenye TV tena za Kenya kufwatilia Uchaguzi wa Kenya hauoni kwamba tatizo liko zaidi kwako labda kuliko kwa Wakenya?
Hakuna Mkenya anayeweza kuangalia TV ya Tanzania akiwa Kenya achilia mbali hata kujua tu Jina la TV za TZ lkn Tanzania ni kawaida kuangalia TV za Kenya, sasa nani ana safari ndefu kuliko mwingine?
Badala ya ujamaa tukaambulia uchama na uchawa!Nyerere alitufundisha tukatae ukabila ili tukubali Ujamaa. Wakati Ujamaa ndiyo unaharibu nchi kuliko ukabila. Kihistoria Ujamaa na Ukomunisti umeuwa na kutesa mamilioni ya watu. Sisi tuna mfumo mbovu wa Ujamaa kulko hata huo ukabila wa Kenya.