Kenya bids to host Africa continental free trade area headquarters

Mnafaidikaje ??? Maana level ya youth ambao ni unemployed ni kubwa hadi mnatia huruma.. Wakenya badilikeni mindset zenu vngnevyo mtaamka inchi imefirisika
Si lazima ukuwe employed man. Actually employment nikama ufungwa. Unalipwa peanuts, kuita mtu boss, kuamka mapema kila siku n.k.
 
Naomba kuuliza hayo ma HQ nimeuliza yanawasaidia vipi watu wa kawaida...maana ukiangalia hata waajiliwa wengi wa hayo ma HQ ni wageni labda vkazi ka usafi na usecretary ambazo Nazo ni chache haziongezi positivity yoyote kwenye soko LA ajira LA Kenya.

Umefanya research? Ama you are just assuming they employ foreigners? They do employ locals actually but they also employ foreigners
 
Umesema kweli UN wanaajili natives wengi but hayo makampuni mengne wanachukua namba ndogo za natives..
Kikubwa Kenya bora muanze kukaribisha wawekezaji wanaowekeza kwenye sector ka viwanda, na biashara ambazo zitatumia wakenya wengi kuliko foreigners, hiyo itasaidia hata kuongezeka kipato na mzunguko wa fedha kwa RAIA wa kawaida..
Tuko same boat but najua UN employs a lot of Kenyans. Niko na a friend who used to work for Google Kenya pia.
 
Rwanda unlike Kenya isn't a failed state. So you should withdraw your statement!
 
Rwanda unlike Kenya isn't a failed state. So you should withdraw your statement!
Rwandans are aggressive like Kenyans, we match in most ways that's why their country beats you in every way, just that they are small in geographical size.
However, lazy Burundians took after you, copied your every way of life and ended up being deprived and extremely poor like you...dead state.
 
Example ni BBC AFRICA,NAIROBI
most journalists ni wakenya more than a half.
But juu nchi yenu ni fake hadi journalist hamna wa maana pia Burundi but rwanda na Uganda wanajitahidi,wako kadhaa
 
Mnafaidikaje ??? Maana level ya youth ambao ni unemployed ni kubwa hadi mnatia huruma.. Wakenya badilikeni mindset zenu vngnevyo mtaamka inchi imefirisika
Tz is still poor than Kenya despite their employment rate. What does this tell you? Kenyans don't rely on employment.
 
Tz is still poor than Kenya despite their employment rate. What does this tell you? Kenyans don't rely on employment.
Mnarely wapi kwenye ukora na utapeli maana tukisema hamna ajira mmejikita kwenye kilimo tatzo linakuja hata kulima hamlimi saa mmejiajiri wapi???
 
Kenyans do business and don't rely on someone's work. Business is better than even agriculture by far.
Mnarely wapi kwenye ukora na utapeli maana tukisema hamna ajira mmejikita kwenye kilimo tatzo linakuja hata kulima hamlimi saa mmejiajiri wapi???
 
Boss, hapa ni Kigali, Rwanda March 2018 marais na viongozi wa serikali za nchi 52 za Afrika walipotia sahihi mkataba wa AfCFTA. AfTCFTA ni mkataba uloandikwa na mwafrika chini ya mwongozo wa AU. Kama hujaelewa hadi sasa hivi sina la ziada.
 
KENYA MMEJIPELEKA Rwanda
TANZANIA IS GLOBALLY ACCEPTABLE!!! TULISAIDIA NCHI NYINGI KUPATA UHURU
LOOK OUR PRESIDENT IN republic of south Africa TODAY!!
Endelea Kutusi Tz
Next time utakufa na njaa wewe NYANG'AU!!!
 
Attachments

  • VID-20190525-WA0005.mp4
    5.1 MB
KENYA MMEJIPELEKA Rwanda
TANZANIA IS GLOBALLY ACCEPTABLE!!! TULISAIDIA NCHI NYINGI KUPATA UHURU
LOOK OUR PRESIDENT IN republic of south Africa TODAY!!
Endelea Kutusi Tz
Next time utakufa na njaa wewe NYANG'AU!!!
Hahaha accompanied by Jakaya Kikwete so that he can be translated whatever will be talked there....Nigga understands no English!!
 
Hapana, Hii ni hujuma kwa Watanzania na vile tumepigania kuikomboa Africa kutoka kwa mabeberu, inafaa Kama Watanzania tupewe hi nafasi kwa mazuri tumewafanyia Waafrika wenzetu. Kwani Nairobi iko na Nini Dar es salaam haina??
Tanzania haina free market but Kenya IPO.
 
Hizi Pesa Munge provide Social service for Northern part of Kenya like Turkana where people are Starving for hunger!!!
Shwaini wewe!!!
Eti Kenya ni Richest country comparable to Tz.
The sin of Tribalism will going to kill you Kenyans.
Eti LUO cant be a Leader in Kenya???🤔🤔
 
Hahaha accompanied by Jakaya Kikwete so that he can be translated whatever will be talked there....Nigga understands no English!!
SOUTH AFRICA+ RWANDA have accepted Swahili to be Official Language Where Nyanga'u have started market advirtisement (lobying) to secure employement for Teaching swahili!!!. Let me ask U
Japanese & Chinese are using English for official communication??
Go and read Literature of my passionate Kenyan Linguistic Ngungi wa Thiong'o
1. The Liver between ( Where is Waiyaki in Kenya today???)
2. Not yet Uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…