Jaji alishapangwa!!Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya "fedheha"? Labda hujanielewa
Hapi ni Aibu kwenu nyinyi kama wanawake, na hamna kupinga ata kama kosa kafanya mama dorcas, yafaa tuishi nanyi kwa akili
Sent using Jamii Forums mobile app
ogopa sana hiyo kiumbe ndo pekee kilobadilishana mawazo na shetwani....Saa nyingine huwa najiuliza ikiwa kweli Simba anatisha zaidi ya Eva
Mwambie huyoKuna kesi nyingi tu Kama hizi hata uko ulaya unakopasifia na kuushusha utu wako
punguza kuchangia mada kwa mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi wanaume tulivyo na Roho ya Upendo tutamsamehe huyo mtoto na Mama ake. Na maisha yataendelea tuuuuuuuStory ya huyo baba imenitoa machozi asubuhi,kama mwanamke na mama nimejiskia vibaya sana ila Mungu ni mwema na ana kusudi kumleta huyo binti kukiri na kusema ukweli kuwa baba yake hakumbaka,hopefully mzee atapata haki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitoka amsamehe mama na mtoto,waendeleze maisha. Huyo ni ibilisi tu.Nliikuta inaishia nkaona Baba anasema amesamehe, sikujua muktadha, kumbe ndo hivyo?
Looh mwanamke kweli si Ndugu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu ni Mzungu tu...... Sisi ma black nigger tuna laana ya asili,
Marekani ni kwa wazungu?Wazungu kibao wamenyongwa Marekani kwa makosa ya kusingiziwa
Na yeye aolewe sasa,Walichukua Mali mama akauza mashamba akaolewa na mtu mwingine watoto wakasambaratika kwahiyo binti kabaki yatima ameona afichue Siri kwamba alisingizia babayake Kwa kushinikizwa na mama yake ili wachukue Mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah kuna mashetani tunaishi nayo majumbani na tunatembea nayo kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie watu mnakula nini?R Kelly unamjua?
Hivi nyie watu mnakula nini?
Unakuaje na uthubutu wa kulinganisha uendeshaji wa kesi ya R.Kelly na hzi zinazo endeshwa kihuni huku Africa?
Uchunguzi wa kesi ya R.Kelly na hukumu imesha toka?..
Hizi taarifa zimeogofya kila mtu, bora uniuwe kabisa badala kunisingizia nimembaka mwanangu.
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.
Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali
Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!
Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.
(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)
CHANZO: Citizen TV, Kenya
UPDATES
Wakenya wameanza kuomba BABA huyo atolewe gerezani
Ukiwa mtumwa Wa fikra ni taabu sana...C' men, nilivyo ongelea hivyo nimemaanisha mambo mengi sana, ikiwemo "Haki"
Hivi wapelelezi wa hayo matukio walijiridhisha kama ni kweli kwa kumpima huyo msichana DNA ikadhibitika ni kweli aliingiliwa na huyo mzazi wake wa kiume?
Nikupe mfano wa akili ya mwafrica ilivyo ya kipumbafu "Wale walio kuwa wanatuhumiwa kwa mauwaji njombe walibambikiwa kesi hadi wakamtumia rais barua, rais akaitisha uchunguzi na kubaini ni kweli walibambikiwa kesi, hakuna mpelelezi aliyepoteza mda wake kupeleleza watuhumiwa ambacho kingefuata hapo ni kula mvua ya miaka 30+
R.kelly, ronald ulio wataja wapo magereza?
Ukivuna bangi iache wiki moja kwanza kabla ya kuanza kuivuta
Ngoja niendelee kuuza juice zangu, mda mchache mambo mengiUkiwa mtumwa Wa fikra ni taabu sana...
Leo hii mahakama nchini marekan ilimkuta na hatia Christian Ronaldo kwamba alibaka zaidi ya miaka 10 je kulikuwa na ushahidi wa DNA?
Bila kulipa madolali angekuwa wapi?
Unawasema askar wa njombe wakat unatambua lile suala lilikuwa na public interest unafikir huyo askar aliyepeleleza kesi Ya njombe angeanza kuleta utaalamu wake wakat watuhumiwa wanazungumzwa kila siku na jpm angeishia wapi?
Utakiwa uelewe kwamba duniani haki haipo acha kuabudu wazungu ndio maana mnaanza kuvaa vipini puani
Sent using Jamii Forums mobile app
UMENENA UKWELI NDUGU YANGU,HAKIMU ALIKULA PESA HAPAMahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app