KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Kwa mwanaume yeypte yule mwanamke ni mmoja tu... nae ni mama hawa wengine ni washirika tu na saa yeyote ushirika wafa tena vibaya.... Hilo tuliloskia ni moja kati ya mengi yanayotokea maishani mwetu na hayajulikani au kuripotiwa kama hili!
Unajua maana ya "fedheha"? Labda hujanielewa

Hapi ni Aibu kwenu nyinyi kama wanawake, na hamna kupinga ata kama kosa kafanya mama dorcas, yafaa tuishi nanyi kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story ya huyo baba imenitoa machozi asubuhi,kama mwanamke na mama nimejiskia vibaya sana ila Mungu ni mwema na ana kusudi kumleta huyo binti kukiri na kusema ukweli kuwa baba yake hakumbaka,hopefully mzee atapata haki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi wanaume tulivyo na Roho ya Upendo tutamsamehe huyo mtoto na Mama ake. Na maisha yataendelea tuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani muwe makini na watu mnaoamua kuingia nao kwenye ndoa

Yaaah ni kweli kabisa. Si kila mwanamke anatakiwa aolewe. Wapo wachache wanaofaa. Wengi ni kwa ajili ya kulala nao kwa muda tu unamwacha aende akalale na wengine. Mwanamke wa kuoa unabidi uchunguze sana
 
Hivi nyie watu mnakula nini?

Unakuaje na uthubutu wa kulinganisha uendeshaji wa kesi ya R.Kelly na hzi zinazo endeshwa kihuni huku Africa?

Uchunguzi wa kesi ya R.Kelly na hukumu imesha toka?..

Bora Hata Africa

R.kelly hajahukumiwa lakin tayari anaitwa Mbakaji Na Media zimetangaza kutopiga Nyimbo zake Na wote alioshirikiana nao Kwenye Nyimbo hawataki wapige Nyimbo zao?

Umeelewa nilichomaanisha?

Yaan anahukumiwa tayari wakati uchunguzi unaendelea
 
Kesi zakusingiziwa ndio zimejaza watu magerezani! hii mara nyingi inatokea kwenye familia za ovyo ovyo Baba akiwa na Mali akifa bila kuacha maelekezo ndugu wanafanya kila njia hasa wakigundua ww ndio unazuia utauziwa kesi na ukiwa jela wanawaweza kukuletea matunda yanye sumu ukafa huko! ndio maana ukiingia jela baadhi ya wadau wanakuuliza kesi iliyokupeleka maana ukiletewa vitu vyakula kutoka home wajue kama watakula na we au la! Africa ni janga
Hizi taarifa zimeogofya kila mtu, bora uniuwe kabisa badala kunisingizia nimembaka mwanangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sisi wanaume hatujaumbiwa Roho hii kuwaumiza wake /wenza wetu kwa kiwango hiki, najua tupo na domestic violence cases ila hapa huyu mama na mwanae walikuwa wanamshangaza hata Lucifer.
10 years a woman rejoicing with another man, knowing the husband is in jail for nothing than jealousy and selfishness.

Hawa viumbe wenzetu ni kweli hata walidiscuss na Nyoka kumaliza hatima yetu duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim huwa n mgumu sana kudondosha jozi lakin leo ninakili nimedondosha bila ya kujua.Hii inadhihirisha n jinsi gan hii habar imenigusa.Namuombea kwa Mwenyez MuNGU huyu baba atoke na awasamehe watesi wake kama alivyokwisha msamehe mwanaye


Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.

Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali

Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!

Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.

(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)

CHANZO: Citizen TV, Kenya


UPDATES

Wakenya wameanza kuomba BABA huyo atolewe gerezani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
C' men, nilivyo ongelea hivyo nimemaanisha mambo mengi sana, ikiwemo "Haki"

Hivi wapelelezi wa hayo matukio walijiridhisha kama ni kweli kwa kumpima huyo msichana DNA ikadhibitika ni kweli aliingiliwa na huyo mzazi wake wa kiume?

Nikupe mfano wa akili ya mwafrica ilivyo ya kipumbafu "Wale walio kuwa wanatuhumiwa kwa mauwaji njombe walibambikiwa kesi hadi wakamtumia rais barua, rais akaitisha uchunguzi na kubaini ni kweli walibambikiwa kesi, hakuna mpelelezi aliyepoteza mda wake kupeleleza watuhumiwa ambacho kingefuata hapo ni kula mvua ya miaka 30+

R.kelly, ronald ulio wataja wapo magereza?

Ukivuna bangi iache wiki moja kwanza kabla ya kuanza kuivuta
Ukiwa mtumwa Wa fikra ni taabu sana...
Leo hii mahakama nchini marekan ilimkuta na hatia Christian Ronaldo kwamba alibaka zaidi ya miaka 10 je kulikuwa na ushahidi wa DNA?
Bila kulipa madolali angekuwa wapi?

Unawasema askar wa njombe wakat unatambua lile suala lilikuwa na public interest unafikir huyo askar aliyepeleleza kesi Ya njombe angeanza kuleta utaalamu wake wakat watuhumiwa wanazungumzwa kila siku na jpm angeishia wapi?

Utakiwa uelewe kwamba duniani haki haipo acha kuabudu wazungu ndio maana mnaanza kuvaa vipini puani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mtumwa Wa fikra ni taabu sana...
Leo hii mahakama nchini marekan ilimkuta na hatia Christian Ronaldo kwamba alibaka zaidi ya miaka 10 je kulikuwa na ushahidi wa DNA?
Bila kulipa madolali angekuwa wapi?

Unawasema askar wa njombe wakat unatambua lile suala lilikuwa na public interest unafikir huyo askar aliyepeleleza kesi Ya njombe angeanza kuleta utaalamu wake wakat watuhumiwa wanazungumzwa kila siku na jpm angeishia wapi?

Utakiwa uelewe kwamba duniani haki haipo acha kuabudu wazungu ndio maana mnaanza kuvaa vipini puani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niendelee kuuza juice zangu, mda mchache mambo mengi
 
Back
Top Bottom