KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Hivi nyie watu mnakula nini?

Unakuaje na uthubutu wa kulinganisha uendeshaji wa kesi ya R.Kelly na hzi zinazo endeshwa kihuni huku Africa?

Uchunguzi wa kesi ya R.Kelly na hukumu imesha toka?..
Yaan ww jamaa akili yako kinyesi cha nguruwe kweli...
Yaan ndio nyinyi mzungu akinya yumban kwako utafurahia kuwa kakuletea mbolea ila akinya mweusi utaanza kumpiga kwamba kachafua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIYO MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI HAIKUFANYA KAZI YAKE IPASAVYO OTHERWISE MPUNGA ULIPITA WA KUMLAINISHA HAKIMU/JAJI
 
Watajuaje kama huyu binti anaongea kweli au anamuonea huruma baba yake asifie jela.
 
Baada ya kupitia pitia comments kwenye uzi huu nimejipata nawaonea huruma wachagga. Hii kesi ya Julius Wambua Musyoka, bintiye Dorcas Mwende na mamake(ambao chimbuko la ukoo wao wote ni ukambani, sio ukikuyuni) imenifumbua macho kuhusu hili jinamizi la ukabila Tz, ambalo baadhi ya majirani zetu wameanza kucheza cheza na masharubu yake. Watani wetu naona bado hamjaonja madhara ya kuchukua mkondo huo. Uozo wa jamii haujui kabila wala dini, natumai masaibu ya Julius Wambua yataisha hivi karibuni.
 
Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
DNA ni pale panapokua na sample, in this case ripoti ilitolewa baadae sana Kwa maana hiyo, hats ingekua kweli, sample ingekua ishaharibika. Na ndo maana wanawake wanashauriwa kwenye kesi ya ubakaji wasioge wala kubadilisha nguo ili sample zipatikane. Tam in pale mwanamke atafika kituoni mfano gogoni kibaha na asirusiwe kuingia kituoni kisa kavaa suruali!!
 
Mzungu ni Mzungu tu...... Sisi ma black nigger tuna laana ya asili,
Kwa comment yako tu nishajua kiwango chako cha elimu! Mngeendelea na masomo kidogo mgepunguza huo ujinga uliowajaa wewe na hao wajinga wenzio waliolike utumbo ulioandika.
Fanya hivii, Fungua tovuti ya NEWYORK TIMES (ni gazeti la marekani) kwenye search bar andika 'father rapes daughter' ama 'serial rapist/killer' kwenye hiyo orodha ndefu fungua hata link mbili angalia picha ya mtuhumiwa coz kusoma najua hutoweza alaf uje na ujinga mwingine tofauti
 
Colonial mentality.

Sent using Jamii Forums mobile app
That's an understatement hii in pure ignorance au ujinga Kwa lugha ya kiswahili.
Hawa ndo wale wanaoangalua filamu za Korea zilizotafsiriwa na MTU asiejua kikorea! Naamini asilimia 100% hajawai kuangalia BBC au CNN ili kujua kinachoendelea huko Kwa nusu mungu wake. Africa hatujafikia maovu wanayofanya wazungu. The worst we have done is kill albino na wazee wenye macho mekundu as bad as this all is, Ila bado hatujawafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…