Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kama sio alipewa puchi. Nimeifuatilia hii habari.. hakima ali deny rights zs mtuhumiwa. Alisha kula rushwa huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio alipewa puchi. Nimeifuatilia hii habari.. hakima ali deny rights zs mtuhumiwa. Alisha kula rushwa huyu
nakubaliana na wewe mkuu, tena ni roho ya ujasiri haswa, maana wengine hudharauliwa kwa kuwasamehe waliowakoseaKusamehe ni kipawa si kila mmoja anajaaliwa kuwa nacho
Jr[emoji769]
Yaan ww jamaa akili yako kinyesi cha nguruwe kweli...Hivi nyie watu mnakula nini?
Unakuaje na uthubutu wa kulinganisha uendeshaji wa kesi ya R.Kelly na hzi zinazo endeshwa kihuni huku Africa?
Uchunguzi wa kesi ya R.Kelly na hukumu imesha toka?..
Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Crap...Yaan ww jamaa akili yako kinyesi cha nguruwe kweli...
Yaan ndio nyinyi mzungu akinya yumban kwako utafurahia kuwa kakuletea mbolea ila akinya mweusi utaanza kumpiga kwamba kachafua
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua angalia you tube! Nd utapata picha halisi! Na hutaweza kufkiria ivo.....Watajuaje kama huyu binti anaongea kweli au anamuonea huruma baba yake asifie jela.
Fungua angalia you tube! Nd utapata picha halisi! Na hutaweza kufkiria ivo.....
Kumbuka iyo kesi imewahusisha maaskari na hakimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ngoja tuoneYutyubu haiwezi kuthibitisha KAMA binti ni muongo au mkweli.
Colonial mentality.Mzungu ni Mzungu tu...... Sisi ma black nigger tuna laana ya asili,
Mzungu ni mzungu tu, tangia wazungu waondoke africa ndiyo upumbafu umezidi kutamalaki
DNA ni pale panapokua na sample, in this case ripoti ilitolewa baadae sana Kwa maana hiyo, hats ingekua kweli, sample ingekua ishaharibika. Na ndo maana wanawake wanashauriwa kwenye kesi ya ubakaji wasioge wala kubadilisha nguo ili sample zipatikane. Tam in pale mwanamke atafika kituoni mfano gogoni kibaha na asirusiwe kuingia kituoni kisa kavaa suruali!!Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa comment yako tu nishajua kiwango chako cha elimu! Mngeendelea na masomo kidogo mgepunguza huo ujinga uliowajaa wewe na hao wajinga wenzio waliolike utumbo ulioandika.Mzungu ni Mzungu tu...... Sisi ma black nigger tuna laana ya asili,
That's an understatement hii in pure ignorance au ujinga Kwa lugha ya kiswahili.