KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Nliikuta inaishia nkaona Baba anasema amesamehe, sikujua muktadha, kumbe ndo hivyo?
Looh mwanamke kweli si Ndugu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kinauma dunia hii kama kusingiziwa na hakuna wa kukusikiliza akakuamini...utabaki kulia na Mungu tu bila japo itachukua mda atakusikia.
Ndo mana hata amri kumi mojawapo inasema usimshuhudie jirani yako uongo..Mungu anayajua maumivu ya kusingiziwa..
kwakweli bora wabadilishe..baba alikua analia huyo mtoto alipokua anahadithia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…