KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.

Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali

Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!

Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.

(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)

CHANZO: Citizen TV, Kenya

Mama zenu na nani? Usituchanye na tamaa za mali za ki kikuyu.

Uovu afanye mmoja utujumuishe sote?

Punguani wahed.
 
mimi huyo mwanamke wala hanisumbui nasumbuka na bint tu maana watoto ndio ndugu zangu investments zako mwanamke ni partner wako in that investment.
Nawezaje ku deal na usaliti wa mwanangu mwenyewe shinikizo no shinikizo hako kabi t u akasamehe na kuki di own kabisa maana alichofanya ni degree ya juu ya uovu minus kukuua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.

Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali

Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!

Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.

(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)

CHANZO: Citizen TV, Kenya
fedheha ya huyo mama dorcas, utasemaje fedheha nyengine kwa mama zetu?!!!!, hamuamki tu kujua kuwa dunia ya leo kila mtu abebeshwe mslaba wake, kosa la huyo mama ni la huyo mama isiwe sababu ya wanawake woote wakose usingizi na wasijiamini kuwa wao ni watu wema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi za wanawake kuwalisha sumu mbaya watoto wao kuhusu baba zao zipo sana,jirani yetu mmoja kipindi nakua mama yake alimwambia baba yake alishakufa kitambo tena alikufa hata hajazaliwa ila wapevu wakamsubiri akue kue wakamwambia ukweli nakumbuka jamaa alimchukia sana mama yake baada ya kulijua hili.

Mwanamke siyo kiumbe wa kumuamini hata mara moja anaweza kukutia kwenye janga ukajikuta maisha yako yote unajuta kumfahamu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kuna mama alitengana na mume wake tena kwa ujinga wake Wa kutokutaka kumsamehe mume wake alipoomba kumsamehe baada ya mwanaume kumzushia kuwa analiwa na jirani,baada ya kuachana yule mwanamke akatamani mshahara Wa mumewe wakati na yeye alikuwa na mshahara akaenda kumsema kwa ofisin kuwa hatoi pesa za ada na matunzo kwa watoto ili apate nusu mshahara Wa mumewe
 
fedheha ya huyo mama dorcas, utasemaje fedheha nyengine kwa mama zetu?!!!!, hamuamki tu kujua kuwa dunia ya leo kila mtu abebeshwe mslaba wake, kosa la huyo mama ni la huyo mama isiwe sababu ya wanawake woote wakose usingizi na wasijiamini kuwa wao ni watu wema

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya "fedheha"? Labda hujanielewa

Hapi ni Aibu kwenu nyinyi kama wanawake, na hamna kupinga ata kama kosa kafanya mama dorcas, yafaa tuishi nanyi kwa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom