FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.
Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali
Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!
Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.
(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)
CHANZO: Citizen TV, Kenya
Mama zenu na nani? Usituchanye na tamaa za mali za ki kikuyu.
Uovu afanye mmoja utujumuishe sote?
Punguani wahed.