KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

Mama zenu na nani? Usituchanye na tamaa za mali za ki kikuyu.

Uovu afanye mmoja utujumuishe sote?

Punguani wahed.
Hii sio mara ya kwanza kwa wanawake kufanya mambo kama haya! Ndo maana nimesema fedheha nyingine kwa mama zetu! .... Tafadhali bibi nielewe si kwa ubaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walichukua Mali mama akauza mashamba akaolewa na mtu mwingine watoto wakasambaratika kwahiyo binti kabaki yatima ameona afichue Siri kwamba alisingizia babayake Kwa kushinikizwa na mama yake ili wachukue Mali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tatizo mama akichepuka tu anaanza kuperekwa na mwanaume ndio maana wa mama wengi wanaweza kuua pind wanapochepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hakuchunguzwa na madaktari kuona kama ametumika au la?


Walisema muda huo eti umepita..jaji akamtaklia alafu akamwambia its too expensive ..jamaaa akauliza bei gan akaambiwa ..akasema yuko radhi ukwel ujulikane...atatoa hyo hela jaji akamchomolea..huyu mwanamke kama angekuwa mtz mayb angekuwaga m....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…