KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

huyu mzee alikua ana maduka mengi ya spare hapa mjini...ndo hizo tamaa za mali... sasa huyo mama mdg akambonyeza huyu shogangu coz ni watu waloshibana...ali.chongea mchongo mumewe...sasa hv mama anaishi makongo juuu anahela had anaumwa
Aiseeee si mchezo. Kuna watu wana roho za kikatili hivi. Sahiv huyo mama anajisikiaje kutembelea nyota ya marehem?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mama alitengana na mume wake tena kwa ujinga wake Wa kutokutaka kumsamehe mume wake alipoomba kumsamehe baada ya mwanaume kumzushia kuwa analiwa na jirani,baada ya kuachana yule mwanamke akatamani mshahara Wa mumewe wakati na yeye alikuwa na mshahara akaenda kumsema kwa ofisin kuwa hatoi pesa za ada na matunzo kwa watoto ili apate nusu mshahara Wa mumewe
Mbona huja malizia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu ni Mzungu tu...... Sisi ma black nigger tuna laana ya asili,
Na wale waliomhukumu kofii olomide Miaka miwili kwa ubakaji nao weusi?
Je waliomshitaki christian Ronaldo kwa ubakaji Miaka kumi iliyopita nao weusi?
Mnaowaita wanajua haki za raia usa wamempeleka R. kelly mahakaman kwa ubakaji nao ni weusi?

Hakuna haki duniani, haki ni kwa Mungu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom