Kenya burns $300 million defending the shilling.๐Ÿ™๐Ÿ™

Kenya burns $300 million defending the shilling.๐Ÿ™๐Ÿ™

Sikuhizi una ji defend na memes๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Huu mchezo hautaki hasira๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1542704074921.png
 
Halafu simuelewi Magufuli, wanaomuelewa watutafsirie, yaani ameziba maduka yote ya kubadilisha hela tena kwa kutumia jeshi la JWTZ.
Yaani Wakenya hebu fikirieni siku moja muamke na kukuta wanajeshi wa KDF wamelinda na kuzuia wateja wasiingie kwenye duka lolote la forex exchange.
Hili hata Lumumba buku saba sijui kama mlipewa taarifa ya kueleweka ili mtututafsirie.
Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu - JamiiForums

No offense but kama unafatilia world politics huwezi shangazwa na hili , Kuna ka mchezo flani kanachezwa na nchi flani zisizoitakia mema Tanzania matter a fact any African country which tend to develop a sense of consciousness.
 
No offense but kama unafatilia world politics huwezi shangazwa na hili , Kuna ka mchezo flani kanachezwa na nchi flani zisizoitakia mema Tanzania matter a fact any African country which tend to develop a sense of conscious.
Wenzetu ningumu sana kuelewa.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mambo mengine sio hadi yasemwe.Funika kombe mwanaharamu apite.
 
Back
Top Bottom