mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Sikuhizi una ji defend na memes๐๐๐๐Huu mchezo hautaki hasira๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuhizi una ji defend na memes๐๐๐๐Huu mchezo hautaki hasira๐๐๐
Halafu simuelewi Magufuli, wanaomuelewa watutafsirie, yaani ameziba maduka yote ya kubadilisha hela tena kwa kutumia jeshi la JWTZ.
Yaani Wakenya hebu fikirieni siku moja muamke na kukuta wanajeshi wa KDF wamelinda na kuzuia wateja wasiingie kwenye duka lolote la forex exchange.
Hili hata Lumumba buku saba sijui kama mlipewa taarifa ya kueleweka ili mtututafsirie.
Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu - JamiiForums
Wenzetu ningumu sana kuelewa.๐๐๐ Mambo mengine sio hadi yasemwe.Funika kombe mwanaharamu apite.No offense but kama unafatilia world politics huwezi shangazwa na hili , Kuna ka mchezo flani kanachezwa na nchi flani zisizoitakia mema Tanzania matter a fact any African country which tend to develop a sense of conscious.
This is
This is what you have refused yourself into๐๐๐๐๐