Kenya buys more goods from Tanzania despite trade row

Kenya buys more goods from Tanzania despite trade row

Walifukuzwa? Dah, nilidhani walilemewa na ushindani wa wabongo kibiashara.
Magufuli aliwafukuza sababu walipewa kiwanda cha Tanzania diaries kwa conditions za kiuzalishaji maziwa from the scratch badala yake wakawa wanakusanya raw milk from the farmers na kuyapakia kwenye gari processing inafanyika Kenya kile kiwanda wakakigeuza godauni, JPM alivyoingia statehouse akaanza nao
 
Hehehe, yaani mlikuwa mnaliwa kama malofa afu unaona sifa kusema hadharani? Chezea nyang'au wewe! 😀😀😀
 
Sasa kinachofuata ni kuhakikisha kuwa bidhaa zinazouzwa kenya ziuzwe na watanzania wenyewe! Tofauti na sasa ambapo nyangau huingia wenyewe hadi mashambani na kuwanyonya wakulima wetu kisha kubeba mazao na kwenda kuyauza kwao kwa bei kubwa,tusiishie kushangilia kuuza tu,tuangalie thamani ya kile tunachokiuza!
chuki,ujinga na ulofa utakumaliza
 
Back
Top Bottom