REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Magufuli aliwafukuza sababu walipewa kiwanda cha Tanzania diaries kwa conditions za kiuzalishaji maziwa from the scratch badala yake wakawa wanakusanya raw milk from the farmers na kuyapakia kwenye gari processing inafanyika Kenya kile kiwanda wakakigeuza godauni, JPM alivyoingia statehouse akaanza naoWalifukuzwa? Dah, nilidhani walilemewa na ushindani wa wabongo kibiashara.