joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
SGR yetu ilikwamia kibaha mwaka jana, hizi ni kelele tu kama vile koroshow na atcl...wacha kwanza tupike takwimu alafu tuwachinje albino kadhaa tuwapiku Kenya.
Hahahahaha, hahahahaha,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SGR yetu ilikwamia kibaha mwaka jana, hizi ni kelele tu kama vile koroshow na atcl...wacha kwanza tupike takwimu alafu tuwachinje albino kadhaa tuwapiku Kenya.
Sio operational railway,,, sema loss operational railwayhata mimi nangoja, you know these guys are criticizing our operational railway, while praising a railway that has yet to run a train..
lets wait
Utakuwa ushaoza kaburini kwa huo mwaka bongo itakuwa dubaiIkifika 3020 Bulleti treni ya Dangagiza nitagiwe
SGR ikifika morogoro nitagiwe 😀😀
Utakuwa ushaoza kaburini kwa huo mwaka bongo itakuwa dubai
Different Tz enye wanachinja watoto wachanga for black Magic. TunaelewaNakuonea sana huruma jirani mwenye wivu, this is a different Tz.
Wacha nisiseme sana.
Ww hoja zako huwa ni superstitious tu, well kuna superstitious in terms of development going on here also.Different Tz enye wanachinja watoto wachanga for black Magic. Tunaelewa
Sasa hivi wanatafuta maparachichi
Hakuna kiswahili cha namna Hii, andika lugha unayoifaham vizur ,Pili, Omba omba republic of Kenya hadi kukarabati meter gauge msaidiwe? Bure kabisa ninyi,wakenya ni wapuuzi waliotukukaBongo itakuwa nyuma ya Haiti. Hiyo LIINCHI inaongozwa hata na giza? Afadhali mkate imgezaliwa
Hakuna kiswahili cha namna Hii, andika lugha unayoifaham vizur ,Pili, Omba omba republic of Kenya hadi kukarabati meter gauge msaidiwe? Bure kabisa ninyi,wakenya ni wapuuzi waliotukuka
TANZANIA imezuia Maparachichi kwenda KENYA Hii Ni baada ya JPM kuzudua Kiwanda cha kufungasha Matunda hayo
Tutamshtaki hana huruma, kwa nini anazindua kiwanda hadharani na Wachina wanaona wakati tumeshasaini dili ili tupate mkopo wa kumalizia SGR.TANZANIA imezuia Maparachichi kwenda KENYA Hii Ni baada ya JPM kuzudua Kiwanda cha kufungasha Matunda hayo
Tulia dawa ikuingie Uliomba 1km Leo MoroTukifika Morogoro nitagiwe. Alafu mihogo tumesafirisha kiasi gani? Ama bado tunangoja ATCL ambayo inaota kutu?
Tulia dawa ikuingie Uliomba 1km Leo Moro