Kenya can't afford to electrify her diesel driven loss making SGR

Kenya can't afford to electrify her diesel driven loss making SGR

hata mimi nangoja, you know these guys are criticizing our operational railway, while praising a railway that has yet to run a train..
lets wait
Sio operational railway,,, sema loss operational railway
 
Nakuonea sana huruma jirani mwenye wivu, this is a different Tz.
Wacha nisiseme sana.
Different Tz enye wanachinja watoto wachanga for black Magic. Tunaelewa
 
Different Tz enye wanachinja watoto wachanga for black Magic. Tunaelewa
Ww hoja zako huwa ni superstitious tu, well kuna superstitious in terms of development going on here also.
 
Bongo itakuwa nyuma ya Haiti. Hiyo LIINCHI inaongozwa hata na giza? Afadhali mkate imgezaliwa
Hakuna kiswahili cha namna Hii, andika lugha unayoifaham vizur ,Pili, Omba omba republic of Kenya hadi kukarabati meter gauge msaidiwe? Bure kabisa ninyi,wakenya ni wapuuzi waliotukuka
 
Hakuna kiswahili cha namna Hii, andika lugha unayoifaham vizur ,Pili, Omba omba republic of Kenya hadi kukarabati meter gauge msaidiwe? Bure kabisa ninyi,wakenya ni wapuuzi waliotukuka

The last time I checked you were nowhere near being a kiswahili teacher. Ulikuwa unauza supu ya Pweza pale Makaburini
 
TANZANIA imezuia Maparachichi kwenda KENYA Hii Ni baada ya JPM kuzudua Kiwanda cha kufungasha Matunda hayo
Tutamshtaki hana huruma, kwa nini anazindua kiwanda hadharani na Wachina wanaona wakati tumeshasaini dili ili tupate mkopo wa kumalizia SGR.
 
MOTOCHINI hata hiyo km1 hatujaiona, nita amini nikiona aeriel photos. 😀😀 najua hauna hata moja.
 
Tulia dawa ikuingie Uliomba 1km Leo Moro

Ahaaa haaa haaa
Ukiona hivyo ujue wanakubali KUWA kuna mwendo mdundo.
Kesho kutwa watadai tunataka kuona Dodoma.
Teh teh teh tihiii
Mtondo goo watataka kuona Mwanza.
Tutaelewana tu pole pole.
 
Back
Top Bottom