KENYA: Chama cha Wanasheria chalaani kauli za Rais Uhuru Kenyatta juu ya majaji

KENYA: Chama cha Wanasheria chalaani kauli za Rais Uhuru Kenyatta juu ya majaji

Mgombea wa Urais (Uhuru) kutoa kauli za namna hiyo haitoshi IECB kum-disqualify au kumchomoa kigombea urais?

Vv
 
Kule kushakuwa kugumu maana anachoshangaa uhuru wa bunge na watu wengne wameapishwa kwanin uraisi tuuh ndio kuwe na shida....

Which ni kitu cha msingi km vitu vyengne viko sawa kwanin shida iwe uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni simple..kura ya urais na ubunge ni tofauti...i.e, mtu anaweza kumpigia kura mbunge wa Jubilee lakini urais akampa mbunge wa NASA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe Barbarossa unatakaje?! Kwamba mtu akifanyiwa hila na dhulma aufyate au?! Kuufyata ni ukondoo na ndiyo CCM mnataka hivyo!! Lakini zama zimebadilika tutahoji tu.

Cairo's
Wewe safarihii naona umeamua kurudi kwenye roots kumuung amkono mjombawako Odinga na kupingana na bosswako Lowassa...amakweli damu ni nzito kuliko maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!

Sasa unamtisha nani? Uhuru au JF members? Kwani unachomaanisha wewe kina uhusiano gani na wizi wa kura?
 
Hao Mawakili wa Kenya ni Wajinga Sana!

Rais Uhuru katumia haki yake kutoa hisia zake

Kila Raia anapaswa kuheshimu Maamuzi ya Mahakama sio kukubaliana nayo kwny Nafsi yako

Uhuru kasema Wazi anaheshimu Maamuzi ya Mahakama lakin hakubaliani nayo wao wanataka wamlazimishe aseme anayakubali hata Kama si hivyo
Ni sawa na kulazimishwa kumpenda Rais wakati kinachotakiwa ni kumtii!

Rais wa nchi anatoa hisia zake kwa kutukana na kutisha majaji? Kwamba nikishinda uchaguzi mtakoma? Why are you so stupid? Do you know? Excuse my questions/language but I am doing a small research to understand how some people can manage to be ridiculously stupid.
 
Rais wa nchi anatoa hisia zake kwa kutukana na kutisha majaji? Kwamba nikishinda uchaguzi mtakoma? Why are you so stupid? Do you know? Excuse my questions/language but I am doing a small research to understand how some people can manage to be ridiculously stupid.

Kwa hiyo Uhuru bado ni baba wa Demokrasia au tufute hiyo kauli?
 
Chama kina hadhi, wala si kama huku nusu sheria nisu chama!......Kidumu daima
 
Demokrasia Africa bado hadi 2200 yrs.. Sbb Demokrasia bila Elimu ya kweli kwa wananchi na viongozi wote haiwezekani.. ELIMU AFRICA BADO DUNI MNO MNO..
kwa hiyo wanasheria hawakupaswa kukosoa? sis waoga sana
 
Mdiye Uhuru anayesifiwa mwana demokrasia
Tena leo ndio alisema wazi kabisa kuwa kama si kulinda amani wangeliona cha mtema kuni...
Akaendeleo kuwa watu wana vaa magauni halafu wana batilisha matokeo ......

Kwa kweli Kenyatta nilimsifu lakini speach ya leo ameharibu kabisa..........
 
tanzania ni taifa la waoga acheni wenzenu wavutane kwa hoja msilete mambo yenu ya uchochezi mliovikwa na viongozi wenu mioyo yenu imejaa hofu tu halafu tunataka taifa la uchumi wa kati kwa mwendo huu ni ndoto ndo mana hata makinikia tuliyaacha wazee wa kugeuza shavu la kushoto na la kulia kenya majasili sana hata mlima kilimanjaro yanatupora wakat upo tz.
 
Tatizo kubwa kwa watu wengi hawama subira!!! Waliosifu nilikaa kimya nikasema nisawa Na mwizi kukamatwa hafu yy ndo aseme twendeni police ili awazubaishe atoke baru!!! Yamefika wapi??? Oh Uhuru kakomaa kisiasa wee!! Mwizi!!!? Ulikuwa mkwara2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amezidiwa na sifa mpaka ameanza kuongea pumba ila tutaona mwisho
 
Back
Top Bottom