Kifuu cha moto
Senior Member
- Dec 16, 2016
- 132
- 101
Acheni majungu kwani ni itakuwa Mara ya kwanza ?Nimeona hichi kitu may be results zitoke uhuru ashinde tena ila otherwise ni tsunami kubwa sanah
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii wampeleke Jecha au Uncle DamianYaani hapa tume ya uchaguzi isifanywe kama anavyotaka Raila,lakini wakibadilisha wajumbe na au wafanyakazi wa tume ya uchaguzi halafu Uhuru ashindwe kutakuwa na nongwa
Jibu ni simple..kura ya urais na ubunge ni tofauti...i.e, mtu anaweza kumpigia kura mbunge wa Jubilee lakini urais akampa mbunge wa NASA...Kule kushakuwa kugumu maana anachoshangaa uhuru wa bunge na watu wengne wameapishwa kwanin uraisi tuuh ndio kuwe na shida....
Which ni kitu cha msingi km vitu vyengne viko sawa kwanin shida iwe uraisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe safarihii naona umeamua kurudi kwenye roots kumuung amkono mjombawako Odinga na kupingana na bosswako Lowassa...amakweli damu ni nzito kuliko majiHivi wewe Barbarossa unatakaje?! Kwamba mtu akifanyiwa hila na dhulma aufyate au?! Kuufyata ni ukondoo na ndiyo CCM mnataka hivyo!! Lakini zama zimebadilika tutahoji tu.
Cairo's
Hakuna mseto...lazima tuheshimu maamuzi ya wengi...Odinga ndio rais wa mioyo ya wakenyaNaona sana sana wataishia kuunda mseto
.....Dua la kuku.Tsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!
Tsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!
Hao Mawakili wa Kenya ni Wajinga Sana!
Rais Uhuru katumia haki yake kutoa hisia zake
Kila Raia anapaswa kuheshimu Maamuzi ya Mahakama sio kukubaliana nayo kwny Nafsi yako
Uhuru kasema Wazi anaheshimu Maamuzi ya Mahakama lakin hakubaliani nayo wao wanataka wamlazimishe aseme anayakubali hata Kama si hivyo
Ni sawa na kulazimishwa kumpenda Rais wakati kinachotakiwa ni kumtii!
Rais wa nchi anatoa hisia zake kwa kutukana na kutisha majaji? Kwamba nikishinda uchaguzi mtakoma? Why are you so stupid? Do you know? Excuse my questions/language but I am doing a small research to understand how some people can manage to be ridiculously stupid.
kwa hiyo wanasheria hawakupaswa kukosoa? sis waoga sanaDemokrasia Africa bado hadi 2200 yrs.. Sbb Demokrasia bila Elimu ya kweli kwa wananchi na viongozi wote haiwezekani.. ELIMU AFRICA BADO DUNI MNO MNO..
Tena leo ndio alisema wazi kabisa kuwa kama si kulinda amani wangeliona cha mtema kuni...Mdiye Uhuru anayesifiwa mwana demokrasia
Mbona alikuwa kama amelewa au ndio alivyo kada pohamba?Kwa hiyo Uhuru bado ni baba wa Demokrasia au tufute hiyo kauli?