KENYA: Chama cha Wanasheria chalaani kauli za Rais Uhuru Kenyatta juu ya majaji

Hiyo kukubali kukosolewa tu kwa Kenyatta ni uthibitisho tosha kuwa jamaa anakubali sana uhuru wa mwanadamu katika kufikiri, ingekuwa Tanzania hao chama cha mawakili wangekoga matusi ya kufa mtu toka kwa Magufuli
Lowassa anamuunga mkono UHURU sasa usitegemee sisi kumpinga
 
Uhuru Kenyatta is a thief and a killer.


Once a thief/killer always a thief and a killer.

He killed Chris Musando now he is announcing to come for Judge David Maraga.

Kenyans should protect your citizens if Kenyatta is turning against his own people.

That's the general picture of power monger leaders across the continent of Africa.

Kenyatta now is a shame.
 
Angekua Lissu na TLS wameandika hivi zingejaa thread humu za "wazalendo"kumtukana
Hujiulizi kwann la choo na team yake wapo kimya? Wao wapo upande wa uhuru, na maneno aliyoongea kwao ni aibu. Mtu wanayesema ana demokrasia leo ndio anawawekea kisasi cha wazi majaji. Na hata zile hoja za Uhuru kuwa ameshinda kwa kuangalia wingi wa wabunge na madiwani wake, ndio zilezile walizokuwa wanazikataa Ukiwa kwa ccm. So la choo na wanzie hawajui watu wa kuwasapoti au kuungana nao.
 
This time things are not in favour of Uhuru and co. They have to agree with the situation.
 
Kule kushakuwa kugumu maana anachoshangaa uhuru wa bunge na watu wengne wameapishwa kwanin uraisi tuuh ndio kuwe na shida....

Which ni kitu cha msingi km vitu vyengne viko sawa kwanin shida iwe uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo sababu maana waliogombea urais hawakuwa wawili lakini alienda mahakamani ni mmoja sasa kama wabunge hawakuridhika ni juu yao maana siyo sababu ya kuhalalisha uchakachuaji.
 
Nenda facebook ama katika social media zao kabla ya kuja katika ukumbi wa wabongo.

Huko Uhuru anatukanwa sana kuhusu hii ya kuwasema majaji.
 

Kwenye hiyo barua kulikuwa na haja gani ya LSK kumwambia Rais kwamba "wewe una kinga"?

Wanasheria wa East Afrika wachovu sana.
 
Tsunami inakuja Kenya, subirini nyie endeleeni kuwasifia na hiyo Demokrasia yenu, lkn soon or letter mtaelewa ninachomaanisha!
Inabidi tuwaombee mkuu. Matatizo ya jirani ni ya kwetu. Ninachokiona sisi tunaongea mambo mengi ili kujifurahisha nafsi kutegemea na mrengo wa kisiasa. All in all we pray to God so that Kenyans finish their assignment without blood shed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia Africa bado hadi 2200 yrs.. Sbb Demokrasia bila Elimu ya kweli kwa wananchi na viongozi wote haiwezekani.. ELIMU AFRICA BADO DUNI MNO MNO..

Haijalishi kama kuna Demokrasia, Katiba nzuri na safi au Tume Huru ya Uchaguzi kama walioshika mpini hawana uadilifu na uzingatiaji wa miiko ya weledi (lack of integrity and professional ethics nullifies every good thing).
 


baadhi ya watu wanashabikia hili la Kenya ila watafakari wakijua hili ni jipu kwa nchi za Africa na hasa Tanzania.
Wkt mwingine majaji wanatakiwa kuamua kwa maslahi ya taifa kwa ujumla. Kurudia uchaguzi si mchezo, kwanza gharama, pili usalama wa raia n.k.

Pia itakuwa jipu kwa Tanzania kwa wale wanaopenda kuiga wataiga, na hii wakiiga itasababisha uvunjifu wa amani. Democrasia ni nzuri ila wakati mwingine ni mbaya. Democrasia inaweza sababisha machafuko. Angalia nchi zenye utawala wa Kauli zilivyotulia hazifanani na hizi nchi zenye democrasia..mfano korea, china, Uingereza zimetuliaa...Tunaiga wamarekani ila hii itaja kutupeleka pabaya...
 
Tena leo ndio alisema wazi kabisa kuwa kama si kulinda amani wangeliona cha mtema kuni...
Akaendeleo kuwa watu wana vaa magauni halafu wana batilisha matokeo ......

Kwa kweli Kenyatta nilimsifu lakini speach ya leo ameharibu kabisa..........
Alikuwa amepiga ulabu.
Mkuu hapo kwenye kuvaa magauni umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…