Yote tisa lihandaki letu ndio refu ukanda wote huu na limekamilika. Iwe limechimbwa na vibarua wa Kichina cha msingi lipo kwetu na litasaidia pakubwa kudumisha uongozi wetu kwenye soko la usafirishaji wa mizigo.
Wewe ndiye utiyetaja mwenyewe hizo kazi hapa chini. Thibitisha maneno yako.Mimi nimekumbia, umeona eneo moja tena sio la kitaalamu kama vile soil analysis, pillar alignment, au truck and signal laying . Hebu piti vipicha hapa uniambie wakenya wazawa wana majukumu gani?
View attachment 876765
Mimi nilona kwa macho yangu, wachimba mitaro, wafagiaji, walinzi mpaka wapishi wanatoka China, sasa si ni wao ndio wanatakiwa wapewe sifa ya ujenzi au? Tena ukizingati pesa ni yao pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngoja wamalize biashara huku. Tutawarudisha kama slaves"Chinese completes"
Tunajuwa mmewachoka lakini msiwavunjie heshima kihivyo.
Bahati nzuri au mbaya macho yangu haya kuumbwa na camera ndani, lakini niliwaona.Wewe ndiye utiyetaja mwenyewe hizo kazi hapa chini. Thibitisha maneno yako.
Hapa ni kwenye stage gani ya SGR ya Kenya? Google fasta. [emoji1]Bahati nzuri au mbaya macho yangu hayakuumbwa na camera ndani, lakini niliwaona.
View attachment 876824View attachment 876825
Haya maswali hayaendi na hoja iliyo mezani? Labda upitie vilio vya wakenya wengi wanaofanya kazi huko kwenye SGR wakueleweshe thamani yao ni ipi kwenye huo mradi?Hapa ni kwenye stage gani ya SGR ya Kenya? Google fasta. [emoji1]
Nilichifanya mimi ni kurekebisha kichwa cha habari kwamba walio kamilisha mradi ni wachina na sio wakenya kama vile tunaona kwetu wataalamu wa kitanzania wanavyo hojiwa na kutoa ufafanuzi wa mambo ya kiataalamu.
Reli mbona tunatumia leo hii, hatupo kwenye stories.
Deni linaendelea kupungua jombaa, kweli ikiendelea hivi hao wachina ndio watakuwa na deni letu. [emoji1][emoji16] [emoji16] [emoji91] [emoji109] View attachment 876910
Mjipange mtafika tu. Ila mjuwe, Tanzania ya leo sio ya jana, tunakiwasha usiku na mchana.Naomba sana tufanikishe kufika Kisumu maana huko kuna bandari, safu ya Malaba hata ikichelewa bado tutatumia ziwa Victoria. Nyie endeleeni kujidanganya na kujipa ujoto.
Kwani handaki lina faida gani??? Zaidi ya kuongeza gharama za ujenzi. Shame on UYote tisa lihandaki letu ndio refu ukanda wote huu na limekamilika. Iwe limechimbwa na vibarua wa Kichina cha msingi lipo kwetu na litasaidia pakubwa kudumisha uongozi wetu kwenye soko la usafirishaji wa mizigo.
Fundi anakujengea nyumba yako inaisha unatamba mtaani nimehamia kwangu bwanaa, sasa hivi naitwa baba mwenye nyumba !!! In the same line kwa nini hizo sifa usimpe fundi??Mimi nilona kwa macho yangu, wachimba mitaro, wafagiaji, walinzi mpaka wapishi wanatoka China, sasa si ni wao ndio wanatakiwa wapewe sifa ya ujenzi au? Tena ukizingati pesa ni yao pia.
Kama huyu fundi yeye ndio anatoa hela ya kujenga na mafundi ni wake mwanzo mpaka mwisho na vifaa vya kujenga yeye ndio analeta, hiyo nyumba sio yako baba mpaka ulipe deni lote la fundi.Fundi anakujengea nyumba yako inaisha unatamba mtaani nimehamia kwangu bwanaa, sasa hivi naitwa baba mwenye nyumba !!! In the same line kwa nini hizo sifa usimpe fundi??
Mjipange mtafika tu. Ila mjuwe, Tanzania ya leo sio ya jana, tunakiwasha usiku na mchana.